DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 10,624
- 21,685
Ukiona unafanya yafuatayo basi jua umeanza kuzeeka, upo nyuma ya muda:
👉Kuwa hasira bila sababu ya msingi: ishu ndogo mara anakua agressive balaa
👉Kuilaumu serikali Kwa ishu zako binafsi: Hapa mtu Hana pesa anaanza Kuilaumu serikali🤣🤣 serikali ifanyeje Sasa?
👉Kukosoa kosoa watu na kuona Kila kitu anachofanya mtu anakosea huku wewe ukiwa sahihi.
👉Kitu kidogo unapata masikitiko ya Karne nzima.
👉kuanza kuongea peke yako: yaani hapa jua umeanza na kua Chizi kabisa😓
👉Mtu unakua muoga muoga hujiamini unachukua tahadhali ata Kwa vitu sio vya msingi (kuhofia usalama).
Hizo ni chache tu hebu ongeza na zingine apa.