Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 64,538
- 116,177
Ila wanyama na ndege wana feeling nzuri ukiwa nao karibu, hapa home nna vinjiwa nikitoka tu vinanifatafata nyuma navipa choroko....napenda mno, wakiniona tu lazma wanifate nafurahi nawapenda hadi nashindwa kuwala