Tuliowai kupata Supplemental kwenye final exam za UE/IE tukutane hapa

Ultimate

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
721
1,797
Supp haina huruma aise nilipokua chuo tokea nianze mpaka namaliza nilipata SUPP moja ya Economics ilikua ivi

tulikua na madame m moja anatufundisha Economics alikua mpole, sio muongeaji, mtaratibu, anafundisha vizuri, yani wakati wa kipindi chake ukijisikia huendi ukitaka unaenda yani haangaiki na mtu, kitim tim kilianza pepar ya test alituletea test ya economics rahis economics ya Advance 5&6 tulipata 90, 96, 84 zilikua za kutosha yani Coz work nilikua nayo ya 34 out of 40 sasa kimbembe ilikua final exam tulijua tena final mteremko yani economics tukaipuuzia tukajua ni inakuja rahisi kama ya test, dhuu!! Siku ya final ya economics nafungua mtihani duu sijawah jua kama kwenye economics kuna topics zile mtihan ulikua una maswali 5 kila swali 20mrks, nilijubu swali moja tu nilikua na huakina nalo, matokeo yanatoka na supp ya economics dhaa nilipata uzuni. Supp nilisoma kila kitu Nikachomoa iyo supp..
Mpaka sasa sipuuziagi kitu kila kitu nakichukulia uzito haya mambo ya mzaa sio mazuri aise.
kwa walio wahi kupata supp kama mm ya kwako ilikuaje??? Na ilikua ya nini???
 
Nilipata supp ya business law first year nkachomoa chaap ..nkapata supp ya audit second year third year management chupu chupu nidakwe wakatuongezea marks nikaponea mdomoni ...aisee Supp n tamu san kama unazijulia !disccssn za supp mnakutana wote vilaza mnaelekezana ad raha , ambao hawajawai pata supp nadhan kuna k2 kama wamekikosa sana ktk elimu ya chuo
 
Supp haina huruma aise nilipokua chuo tokea nianze mpaka namaliza nilipata SUPP moja ya Economics ilikua ivi

tulikua na madame m moja anatufundisha Economics alikua mpole, sio muongeaji, mtaratibu, anafundisha vizuri, yani wakati wa kipindi chake ukijisikia huendi ukitaka unaenda yani haangaiki na mtu, kitim tim kilianza pepar ya test alituletea test ya economics rahis economics ya Advance 5&6 tulipata 90, 96, 84 zilikua za kutosha yani Coz work nilikua nayo ya 34 out of 40 sasa kimbembe ilikua final exam tulijua tena final mteremko yani economics tukaipuuzia tukajua ni inakuja rahisi kama ya test, dhuu!! Siku ya final ya economics nafungua mtihani duu sijawah jua kama kwenye economics kuna topics zile mtihan ulikua una maswali 5 kila swali 20mrks, nilijubu swali moja tu nilikua na huakina nalo, matokeo yanatoka na supp ya economics dhaa nilipata uzuni nikalipa 20,000 ya kurudia supp nilisoma kila kitu Nikachomoa iyo supp..
Mpaka sasa sipuuziagi kitu kila kitu nakichukulia uzito haya mambo ya mzaa sio mazuri aise.
kwa walio wahi kupata supp kama mm ya kwako ilikuaje??? Na ilikua ya nini???
picha linaanza first year
sem ya 1 nilipataga supp ya drawing
nikagoma kutoa pesa na nikachomoa
sem 2 nilipataga ya mathe
nikagoma kutoa pesa nika chomoaa
nikaenda mwaka wa 2,
nikajifanya mzoefu wa supp.
mwaka wa pili nikalamba supp 8 zote nilichomoa
mwaka wa 3 nikawa mzoefu nikawa na wafanyia watu supp..na nazichomoa balaaa
mwka wa 4 nikalamba disco
hiyo disco ukitaka kuijua SIKU ifungulie thread
but all in all maisha ya chuo yalikuwa bataa Sanaa
nakumbuka baada ya kuwa kinara wa remedial na supp.nikawa Sina khofu tenaa
kuna wahuni walikuwa wanajikuta wasomi sasa kipindi cha supp wakawa wanadai et wnafanya special
mwisho wa SIKU WOTE tunasomeshwa #kitaaaa
 
mwsho Wote tunafanya supp za mtaan ...
 
Nilipataga supp moja third year semester ya Mwisho.. Ilikua supp ya Audit. Nilipata stress maana naogopa Sana shule halafu miaka yote nimecheza mwaka wa tatu ndo nikala supp halafu sijui naichomoaje.
Uzuri ni kwamba ile supp tulipata karibia 75% ya tuliokua tunasoma hilo somo. Kuna mkaka nakumbuka alikuaga anafundisha review classes za CPA nae akashikwa kwenye supp.
Kuna mwalimu alikua anataka kunizoea sasa alivyojua Nina supp akataka kutumia chance anile halafu akaniombee kwa mwalimu mwenzie kwenye supp nichomoke. Nikamwambia Niko radhi kurudia mwaka ila sio kubadilishana mwili wangu Na supp. Nikajiapiza kutoomba msaada kwa mwalimu yoyote yule nitaifanya supp Na nitachomoa.
Siku ya kwenda kufanya supp Na nilivyo Na allergy Na masomo ya kuandika niliandika nilivyochoka nikabeba vitu vyangu nikakusanya pepa nikaondoka. Nikampigia bf wangu kumtaarifu mwakani narudia mwaka maana sina uhakika wa kufaulu. Hapo nimetoka kwenye pepa hata lisaa halijaisha.
Japo nilishazoeleka kutoka wa kwanza kwenye mitihani huu walijua imekula kwangu maana ulikua ngumu hatari. Nashukuru Mungu nilipita salama maana ile supp hata nikilala nilikua naiota. Nikawa nawauliza rafiki zangu ambao hamna semester inapita hawajahudhurua September Conference waliwezaje kukaa kwa amani wakati wakiwa Na supp mbili Na zaidi maana Mimi moja tu ilinikondesha
 
Mkuu sijakuelewa hapo kwenye tamrini (cousrework ) Yaan Ulipata 34 out of 40 Halafu Ue ikawa na marks 100 Yaan maswali 5@20 sasa ukijumlisha Na zile 40 mbona marks zinazidi. MSAADA
 
Nilipataga supp moja third year semester ya Mwisho.. Ilikua supp ya Audit. Nilipata stress maana naogopa Sana shule halafu miaka yote nimecheza mwaka wa tatu ndo nikala supp halafu sijui naichomoaje.
Uzuri ni kwamba ile supp tulipata karibia 75% ya tuliokua tunasoma hilo somo. Kuna mkaka nakumbuka alikuaga anafundisha review classes za CPA nae akashikwa kwenye supp.
Kuna mwalimu alikua anataka kunizoea sasa alivyojua Nina supp akataka kutumia chance anile halafu akaniombee kwa mwalimu mwenzie kwenye supp nichomoke. Nikamwambia Niko radhi kurudia mwaka ila sio kubadilishana mwili wangu Na supp. Nikajiapiza kutoomba msaada kwa mwalimu yoyote yule nitaifanya supp Na nitachomoa.
Siku ya kwenda kufanya supp Na nilivyo Na allergy Na masomo ya kuandika niliandika nilivyochoka nikabeba vitu vyangu nikakusanya pepa nikaondoka. Nikampigia bf wangu kumtaarifu mwakani narudia mwaka maana sina uhakika wa kufaulu. Hapo nimetoka kwenye pepa hata lisaa halijaisha.
Japo nilishazoeleka kutoka wa kwanza kwenye mitihani huu walijua imekula kwangu maana ulikua ngumu hatari. Nashukuru Mungu nilipita salama maana ile supp hata nikilala nilikua naiota. Nikawa nawauliza rafiki zangu ambao hamna semester inapita hawajahudhurua September Conference waliwezaje kukaa kwa amani wakati wakiwa Na supp mbili Na zaidi maana Mimi moja tu ilinikondesha
Et anile
 
Back
Top Bottom