2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,694
Would you go in?
kunya pembeni uone
Ninachowapendea hawa Simba huwa hawana matatizo na watu wafuatao sheria......ukinya pembeni au kukojoa kwenye nyasi ndipo utaona ubaya wao. Kama una mavi yamekubana, bisha hodi watakupisha. Big up Serikali ya Tanzania kuweka simba walinzi kama hawa. Tunahitaji kuwepo na simba wengine kwenye mbuga zetu zote ili kuepusha ujinga wa wataliii wanyao hovyo mbugani.
Naijua hiyo.Unawafukuza tu na kuwafanyia Shiishiiishiii wnaaondoka unaingia
Interesting...