Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,757
- 107,106
Salute mate..
Huko china miaka ya 544BC alizaliwa bwana mmoja anaitwa Sun Wu, huyu bwana alikua jenerali wa jeshi la uchina ya zamani. Anafahamika zaidi kama Sun Tzu, alikua ni mtaalamu wa mikakati ya kijeshi. huyu jama aliandika kitabu kimoja kinaitwa The Art of War, kitabu hichi ni maarufu sana hopefully humu ndani wengi wanakifahamu...Kitabu hichi kinaelezea mikakati ya kijeshi jinsi ya kutumia wapelelezi, jinsi ya kuweka mikakati ya kumshinda adui yako.
kitabu hiki kinatumiwa na majeshi mengi duniani katika medani za kijeshi lakini pia watu wa kawaida hua wanatumia maandiko ya kitabu hicho kama falsafa zao binafsi za kuwaongoza maishani mwao...Yes ni kitabu kizuri sana lakini kwa upande wangu Falsafa za Sun Tzukatika kitabu hiki zipo kikatili sana ana maneno makalisana kama kitabu hiki kikisomwa na mtu mwenye Agressive behaviral model anaweza kufanya mambo ya kikatili kwa watu aliowaweka kama "target". Kwa mujibu wangu.
Baadhi ya maneno yake anasema kwamba..

Appear weak when you are strong, and strong when you are weak.” – Sun Tzu
“Can you imagine what I would do if I could do all I can?” – Sun Tzu
“If you know the enemy and know yourself you need not fear the results of a hundred battles.Keep your friends close, your enemies even closer.” – Sun Tzu
“Know thy self, know thy enemy. A thousand battles, a thousand victories.” – Sun Tzu
.“The supreme art of war is to subdue the enemy without fighting.” – Sun Tzu
“Let your plans be dark and as impenetrable as night, and when you move, fall like a thunderbolt.” – Sun Tzu
“If you are far from the enemy, make him believe you are near.” – Sun Tzu
. “Victorious warriors win first and then go to war, while defeated warriors go to war first and then seek to win.” – Sun Tzu
“In the midst of chaos, there is also opportunity.” – Sun Tzu
Mwaka 121AD alikuwepo mtawala mmoja katika nchi nchi ya Rumi aliitwa Marcus Aurelius huyu jamaa alikua mwanafalsafa pia..kafundishwana Socrates,Quintus,Apollonius,Epictetus nk. Katika enzi za utawala wake alikua anaandika Diary binafsi kutokana na elimu yake ya falsafa. Katika diary zake hizo alikua anaandika mambo/falsafa mbalimbali ambayo yeye binafsi aliona yatamfaa na kumuongoza katika maisha yake. Miaka ya baadae diary zake zilikusanywa na kutengenezwa kitabu kimoja kwa kingereza kinaitwa Meditation.
Binafsi mimi naona hiki ni kitabu bora zaidi katika kumpa muongozo mtu jinsi ya kukabiliana na changamoto mbalimbali za maisha kuliko kile Cha Art of War. Naona anatumia njia za upole and gently katika kukabiliana na maadui sababu naona kwakua alikua ni mwanafunzi wa falasafa za kujali Utu na uhai zaidi kuliko Vitu/material yatuzungukayo.
baadhi ya nukuu zake anasema..
Begin the morning by saying to yourself, 'I shall meet with the busybody, the ungrateful, arrogant, deceitful, envious, unsocial.' All these things happen to them by reason of their ignorance of what is good and evil. But I, who have seen the nature of the good that it is beautiful, and of the bad that it is ugly, and the nature of him who does wrong, that it is akin to me, not only of the same blood or seed, but that it I participates in the same intelligence and the same portion of the divinity, I can neither be injured by any of them, for no one can fix on me what is ugly. Nor can I be angry with my kinsman, nor hate him. For we are made for cooperation, like feet, like hands, like eyelids, like the rows of the upper and lower teeth. To act against one another then is contrary to nature and it is acting against one another to be vexed and turned away
Wengi humu wanapenda sana masuala ya meditation, sijui wanapenda wanachokijua au wanapenda kwakua kuna watu wamewashawishi kupenda mwisho kuingia kufanya bila kujua.
unapotenda kitu kwanza kabisa anagalia unatenda kitu hicho back up inatoka kwa nani..Wanao amini katika Kristo wanaleta mafundisho kuhusu Meditation, wanaoamini katika Budha na miungu mingine wanaleta,wanaoamini katika Allah wanaleta mafundisho,wanaoamini katika shetani nao wanaleta... na wasomaji kwakua hawajui kuchambua yeye kaona Article kaipenda basi anaanza practice bila yeye kujua.Hao wote wanaoleta mafunzo kuhusu Meditation na mambo mengine ya kiroho hua hawasemi unafanya practice hizo Back Up inatoka kwa nani.
KunaMungu na Miungu mingi kila mtu huleta mafunzo kutokana na imani yake, chunga sana utaenda kuUnlock vitu vitakavyofanya ujute maishani mwako Shetani anatoa Back Up na Mungu anatoa Back Up as a Server. Mfano mtu unapractice kufungua uweze kuona mambo yajayo wakati by default mwanadamu hatakiwi kuExpect what is Next in the life. Fanya kitu kutokana na imani yako ilivyo sio unaomba vitabu vya kiroho usome hujui aliyeandika kitabu hicho aliongozwa na roho kutoka wpi...Utapotea Mate.
Binafsi mimi napenda sana kusoma vitabu vya Spiritual,psychology na Philosophy..kwenye vitu vya kiroho nilianza kusoma vitabu vya wahindu na Budhist mwisho nilianza kutamani kua Budha. Hivyo basi unaweza tumia kusoma vitabu vya kiroho kutokana na imani yako tu vipo ving...Im Catholic huku kuna vitabu vingi sana vya kiroho, unaweza kujiuliza kwa nini Bible imeandikwa miaka mingi iliyopita na inasomwa mara nyingi sana (kwa watu wanajisomea sana biblia) lakini kila siku ukisoma unakuta mambo mapya. Sababu ni moja Bible ina Back Up kutoka kwa Theo hivyo basi anaipatia Software Updates kila muda ndio maana haichuji lakini vitabu vingine ukisoma ukimaliza unapoteza interest nacho.
Vinchii
The Book of meditation