DOKEZO TCU tunaomba msaada, Chuo cha St. Joseph kinatoza ada na direct costs kwanza ndipo uweze ku-confirm udahili wako

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mh. Waziri Professor Adolf Mkenda, kuna mchezo kama unafanyika na Vyuo au na Mfumo wa TCU. Utaratibu wa kuthibitisha chuo (confirm) haki hiyo amepewa mwanafunzi baada ya kuwa chuo kimemdahili. Ila inaonekana kuna vyuo vinadahili na kuthibitisha kwa niaba ya wanafunzi kupitia Mfumo wa TCU bila ridhaa ya mwanafunzi mwenyewe, haijulikani tatizo nini.

Na mwanafunzi akionekana kuthibitisha chuo anakosa sifa ya kudahiliwa au kuchaguliwa vyuo vingine alivyoomba.

Mfano,

Huyo mwanafunzi anaitwa Haji Juma Rehan ana One ya 7.

Chemistry -B, Physics -B, biology -C aliomba

1. Bugando -Doctor of Medicine , Medical Lab , Pharmacy.

2. MUHAS -aliomba Doctor of Medicine .

3. UDSM -(Campus ya Mbeya ) aliomba Doctor of Medicine, Doctor of Dental Surgery.

4. UDOM -aliomba Doctor of Medicine , Nursing , Human Nutrition.

Vyote hivyo alivyoomba alikosa, sababu ameonekana amethibitisha chuo cha St. Augustine Campus ya Arusha Program ya Bachelor of Science in Tourism ikiwa hajaomba na hajui kuhusu hiyo Program na hicho chuo na hajathibitisha.

Mh. Waziri, huyu mwanafunzi hawezi kuomba chuo chochote sasa sababu inaonekana tayari kwenye Mfumo amedahiliwa SAUT na ame thibitisha kitu ambacho sio kweli.

Mh. Waziri na Wizara ya Elimu angalieni tatizo hili na mwisho wa maombi/udahili dirisha la pili ni Septemba 06. Hivyo mbali na ufaulu wake mzuri, mwanafunzi huyu anaweza kosa fursa ya kusoma. Tatizo hili ni kubwa na linanyima haki wanafunzi.

Mchezo huu unafanywa na vyuo ambavyo vina hofu ya kutopata wanafunzi, ni mchezo wa hovyo.

650037299.jpg
 
View attachment 2732018
Mungu wangu
 
We umejuaje kama alikosa kwa sababu hio kama hakuchaguliwa kabisa in the first place na hizo vyuo anavyovitaka..? Maana huyo anaonekana ana single admission, labda kama unasema chuo kimemu applyia, which will be very weird
 
As
Mh. Waziri Professor Adolf Mkenda, kuna mchezo kama unafanyika na Vyuo au na Mfumo wa TCU. Utaratibu wa kuthibitisha chuo (confirm) haki hiyo amepewa mwanafunzi baada ya kuwa chuo kimemdahili. Ila inaonekana kuna vyuo vinadahili na kuthibitisha kwa niaba ya wanafunzi kupitia Mfumo wa TCU bila ridhaa ya mwanafunzi mwenyewe, haijulikani tatizo nini.

Na mwanafunzi akionekana kuthibitisha chuo anakosa sifa ya kudahiliwa au kuchaguliwa vyuo vingine alivyoomba.

Mfano,

Huyo mwanafunzi anaitwa Haji Juma Rehan ana One ya 7.

Chemistry -B, Physics -B, biology -C aliomba

1. Bugando -Doctor of Medicine , Medical Lab , Pharmacy.

2. MUHAS -aliomba Doctor of Medicine .

3. UDSM -(Campus ya Mbeya ) aliomba Doctor of Medicine, Doctor of Dental Surgery.

4. UDOM -aliomba Doctor of Medicine , Nursing , Human Nutrition.

Vyote hivyo alivyoomba alikosa, sababu ameonekana amethibitisha chuo cha St. Augustine Campus ya Arusha Program ya Bachelor of Science in Tourism ikiwa hajaomba na hajui kuhusu hiyo Program na hicho chuo na hajathibitisha.

Mh. Waziri, huyu mwanafunzi hawezi kuomba chuo chochote sasa sababu inaonekana tayari kwenye Mfumo amedahiliwa SAUT na ame thibitisha kitu ambacho sio kweli.

Mh. Waziri na Wizara ya Elimu angalieni tatizo hili na mwisho wa maombi/udahili dirisha la pili ni Septemba 06. Hivyo mbali na ufaulu wake mzuri, mwanafunzi huyu anaweza kosa fursa ya kusoma. Tatizo hili ni kubwa na linanyima haki wanafunzi.

Mchezo huu unafanywa na vyuo ambavyo vina hofu ya kutopata wanafunzi, ni mchezo wa hovyo.

View attachment 2732018
Asome tu nayo si imeandikwa science iyo
 
Unadhani kuingia na kuconfirm kwnye account ya mtu ni virahisi?na mnauhakika wamefanya au maneno tu?Mnajua kuhusu constraints,database na mengine,na hyo habari imekanushwa,No search,no data,no right to speak
 
Mh. Waziri Professor Adolf Mkenda, kuna mchezo kama unafanyika na Vyuo au na Mfumo wa TCU. Utaratibu wa kuthibitisha chuo (confirm) haki hiyo amepewa mwanafunzi baada ya kuwa chuo kimemdahili. Ila inaonekana kuna vyuo vinadahili na kuthibitisha kwa niaba ya wanafunzi kupitia Mfumo wa TCU bila ridhaa ya mwanafunzi mwenyewe, haijulikani tatizo nini.

Na mwanafunzi akionekana kuthibitisha chuo anakosa sifa ya kudahiliwa au kuchaguliwa vyuo vingine alivyoomba.

Mfano,

Huyo mwanafunzi anaitwa Haji Juma Rehan ana One ya 7.

Chemistry -B, Physics -B, biology -C aliomba

1. Bugando -Doctor of Medicine , Medical Lab , Pharmacy.

2. MUHAS -aliomba Doctor of Medicine .

3. UDSM -(Campus ya Mbeya ) aliomba Doctor of Medicine, Doctor of Dental Surgery.

4. UDOM -aliomba Doctor of Medicine , Nursing , Human Nutrition.

Vyote hivyo alivyoomba alikosa, sababu ameonekana amethibitisha chuo cha St. Augustine Campus ya Arusha Program ya Bachelor of Science in Tourism ikiwa hajaomba na hajui kuhusu hiyo Program na hicho chuo na hajathibitisha.

Mh. Waziri, huyu mwanafunzi hawezi kuomba chuo chochote sasa sababu inaonekana tayari kwenye Mfumo amedahiliwa SAUT na ame thibitisha kitu ambacho sio kweli.

Mh. Waziri na Wizara ya Elimu angalieni tatizo hili na mwisho wa maombi/udahili dirisha la pili ni Septemba 06. Hivyo mbali na ufaulu wake mzuri, mwanafunzi huyu anaweza kosa fursa ya kusoma. Tatizo hili ni kubwa na linanyima haki wanafunzi.

Mchezo huu unafanywa na vyuo ambavyo vina hofu ya kutopata wanafunzi, ni mchezo wa hovyo.

View attachment 2732018
nimestuka kidogo kwa haya majina, wavaa kobazi tuko nyuma sana
 
Hilo jina tu la mvaa kobazi ni tatizo ,mmeshindwa kutafakari jambo dogo kama hili ? Huwezi chaguliwa chuo ambacho huja apply acha uongoo...afu chukua hili kama uyo kaomba vyuo vitano (5) kakosa vyote vi 4 afu kapata kimoja ..moja kwa moja kitaji confirm icho kimoja maana .option ya ku confirm ipo kwa walio na multiple selections tu

Ivyo kama aja ridhia hawa contact chuo au TCU wafute hili a apply tena lakini hilo swala la kuchaguliwa chuo from nowhere tu halipooo
 
Back
Top Bottom