pyongyang
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 698
- 1,478
tsh.60,000/=Bei gani inauzwa?
tsh.60,000/=Bei gani inauzwa?
Kwa ninavyoelewa simu za mitandao ya simu line ya kwanza wanaweka line yao ama wana activate yako ya mtandao wao, mpaka iwepo hio line ndio unatumia na line ya pili, kukiwa hakuna line yao haipigi kazi mpaka uitoe lock.mkuu nimeku
mkuu nilikinunua hicho kisimu toka kama siku 4 au 5 zilizopita nimekifungia tu ndani, kinatumia micro sim card lakini kila nikiweka line haisomi, nimebadilisha line yangu nakuweka line nyingine mbili tofauti still bado tatizo nililelile, nimewacheki voda wameniambia nikirudishe dukani nilipokinunulia kwa msaada zaidi. Nashindwa kuleta mrejesho mzuri kwakua sikukichezea sana baada ya sim cards kukataa kusoma, ila kwa mda niliokitumia screen touch sensitivity iko poa tu, build quality haitofautiani nasmart vitochi vingine, buttons zake zipo zivuri kwakuchat, battery inaonekana ikopoa japo sikuitumia simu sana ila kitendo cha kuitoa battery nakuiweka mara kadhaa wakati naangaika na tatizo la sim card battery haikuonesha kushuka chaji, kuhusu OS no comment kwa sasa japo inaoneka ni light kidogo tofauti na kaios, kwenye kitabu cha matumizi ya simu wameandika "it runs on digitOS based on android latest versions". Ina kuja na app ya "aptoide" kwaajili yadownload applications, sasa sijui kama ina apps nyingi au la. Pia wameandika kwenye kitabu line zote mbili,1&2 zinasoma 4g which am not sure,pia kana uwezo wakuscreen shot.
mkuu nilifanya hivyohivyo kama ulivyosema hapo juu kuhusu laini lakini wapi, kuhusu gb 24 walinipa maelekezo ya kupata hiyo ofa ya GB &dakika, unaandika neno "ZAWADI" kwenda namba 15300 kupata ofa, nilijaribu kufanya hivyo kwa simu nyingine ninayoitumia kwa sasa kwakua kisimu chao kiligoma kusoma line wakaniju " simu yako haipo kwenye utaratibu wa ofa" hivyo sikupa ofa yao hio. Nadhani kupata ofa ni mpaka utume ujumbe huo kwakutumia kisimu husikaKwa ninavyoelewa simu za mitandao ya simu line ya kwanza wanaweka line yao ama wana activate yako ya mtandao wao, mpaka iwepo hio line ndio unatumia na line ya pili, kukiwa hakuna line yao haipigi kazi mpaka uitoe lock.
Ulipewa GB 24?
Shukran pia kwa feedback,
Kama hautojali tunaomba mrejesho mkuu! Maana Jumatatu ni leotsh.60,000/=
Kiongoz hiki kisimu kwa ufupi kinamapungu yake na maboresho yake kutoka toleo la kitochi lilipita; MAPUNGUFU 1.Kama wewe ni kazi yako niyakufanya miamala ya simu kama wakala wa m-pesa au tigo pesa hii simu sikushauri ununue inasumbua sana unapotaka kuswitch kati ya input mode “abc“, “ABC“ Au “123“. Itakulazimu ukikate hiki kiinterface hapo chini katikati ya transaction kama input mode awali ilikua kwenye “abc“ au “ABC“Kama hautojali tunaomba mrejesho mkuu! Maana Jumatatu ni leo
Umefafanua vizuri sana mkuu, tunashukuru sana kwa mrejesho!Kiongoz hiki kisimu kwa ufupi kinamapungu yake na maboresho yake kutoka toleo la kitochi lilipita; MAPUNGUFU 1.Kama wewe ni kazi yako niyakufanya miamala ya simu kama wakala wa m-pesa au tigo pesa hii simu sikushauri ununue inasumbua sana unapotaka kuswitch kati ya input mode “abc“, “ABC“ Au “123“. Itakulazimu ukikate hiki kiinterface hapo chini katikati ya transaction kama input mode awali ilikua kwenye “abc“ au “ABC“
View attachment 2983938 ili urudi tena huku View attachment 2983939 Ili kuipata hiyo input mode ya “123“ uweze kufanya miamala, simu hii haikuruhusu kubadili input mode unayoitaka katikati ya muamala. 2.Kinasauti ndogo wakati wa mazungumzo itakubidi kama upo kwenye kelele uweke loudspeaker ili muweze kusikiliza vizuriView attachment 2983941 3.Kinapata joto kias4 unapokichaji ukiwa haujakizima japo sio kila wakati au unapostream videos kwa mda mrefu,juzi kilipata joto kiasi nilipostream videos instagram kwa zaidi ya masaa 2 mfululizo. 4.Line namba moja inakupa machaguo yakutumia 4G,3G AU 2G kwenye settingsView attachment 2983942 wakati line namba mbili inakupa option moja tu yakuchagua mtandao wa 2G pekee nasio vinginevyo View attachment 2983943 5.Settings za simu hazikuruhusu kutumia laini namba 2 kwenye internet,kuna option yakutumia line 2 kwenye kupiga simu na kutuma sms pekee,View attachment 2983944 6.Screen resolution ni ndogo japo sio sana kwaupande wangu i can live with it,sijui kwa watu wengine. 7.Hiki kisimu kinakuja na app ya aptoide kama app storeView attachment 2983945 View attachment 2983946 kina apps nyingi zipo zakununua na za free,ila apps nyingi za free kwa upande wangu zimenigomea kufanya kazi na nyingine kama vile sofascore ilicrash upon downloading mara kadhaaView attachment 2983948View attachment 2983949View attachment 2983950View attachment 2983951 kwa ufupi hayo ndio mapungufu niliyoyagundua kwa upande wangu ndani ya huu md mfupi wakukitumia hiki kisimu.
Asante sana mkuu! Maswali mengine watauliza wengine kama yapo, ila mimi naona umemaliza Karibia kila kituupande wa battery kutunza chaji i give it 8/10, upande wa camera mimi sio mpenzi kabisa wakupiga picha so no comment,
Pia kaBla sijasahau walinipatia na ofa yao ya GB 1 kwa matumizi tofautitofauti, GB 3 kuperuzi facebook Tu, dk 100 mitandao yote na sms sikumbuki ni ngapi kwa mwezi wa kwanza, sijajua sasa kama wataendelea kunipatia tena kwa miezi mingine mitano iliyobaki au la.Asante sana mkuu! Maswali mengine watauliza wengine kama yapo, ila mimi naona umemaliza Karibia kila kitu
Chief kuhusu lile tatizo la “input mode“ kama upo katikati ya muamala problem solved kiasi chake , unafanya tu kupress&hold button ya namba husika unayoitaka. Kuhususu apps nyingi za aptoide kugoma kufanya kazi nimedownload app ya “9APP“Kama hautojali tunaomba mrejesho mkuu! Maana Jumatatu ni leo
Mkuu hivi zinauwezo wa kutumia VPN (ha tunnel na http custom)Chief kuhusu lile tatizo la “input mode“ kama upo katikati ya muamala problem solved kiasi chake , unafanya tu kupress&hold button ya namba husika unayoitaka. Kuhususu apps nyingi za aptoide kugoma kufanya kazi nimedownload app ya “9APP“View attachment 2985031View attachment 2985032View attachment 2985033 KUtoka kwenye aptoide store kama alternative yakupata apps zilizonigomea awali, nitarudi na mrejesho wa kama apps from 9apps zinawork vizuri au la
Ni android hio, app itakataa kamaMkuu hivi zinauwezo wa kutumia VPN (ha tunnel na http custom)
je na telegram pamoja na jamiiforum kanaingia mkuu.Ni android hio, app itakataa kama
1. Inategemea play services sababu hamna playstore ila hili linaweza kuwa solved.
2. App imetengenezwa kurun kwenye resolutions kubwa.
Otherwise app nyingi za Android zina run humo.
Kwa upande wangu toleo la kwanza nilichoka kwa maana ilikuwa haingii kwenye website kubwa kama sportpesa na galsport na ilekubonyeza bonyeza ..ilibidi niiuze ..tu..Ni android hio, app itakataa kama
1. Inategemea play services sababu hamna playstore ila hili linaweza kuwa solved.
2. App imetengenezwa kurun kwenye resolutions kubwa.
Otherwise app nyingi za Android zina run humo.
To leo la kwanza ni Kai os, hii ni android, hii ni simu ya android kama simu nyengine kasoro tu umbo.Kwa upande wangu toleo la kwanza nilichoka kwa maana ilikuwa haingii kwenye website kubwa kama sportpesa na galsport na ilekubonyeza bonyeza ..ilibidi niiuze ..tu..
Sawa mkuu ngoja niende nikaichukue hiyo simuTo leo la kwanza ni Kai os, hii ni android, hii ni simu ya android kama simu nyengine kasoro tu umbo.
Sina hakika mzee baba na sijawahi kutumia vpn ila kwenye settings kuna option ya vpnMkuu hivi zinauwezo wa kutumia VPN (ha tunnel na http custom)
Haka kanafungua vizuri tu websites zote za betting tena na aviator unacheza vizuriKwa upande wangu toleo la kwanza nilichoka kwa maana ilikuwa haingii kwenye website kubwa kama sportpesa na galsport na ilekubonyeza bonyeza ..ilibidi niiuze ..tu..