Tatizo kubwa la kitochi 4G za tigo ni ni anaganda baada ya matumizi. Nimeambatanisha picha

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
172
Hili limekua tatizo kubwa sana kwa simu za kitochi 4G ukiitumia baada ya muda Fulani Kanaganda yaani ukiiwasha haiwaki inaishia hapo tu kwenye "karibu tigo".

Je, unaweza kutumia mbinu gani kukatengeneza mwenyewe bila kwenda kwa fundi ikiwa una laptop. Maana hata ukikatengeneza baada ya muda tatizo linajirudia tena.
 
Hili limekua tatizo kubwa sana kwa simu za kitochi 4G ukiitumia baada ya muda Fulani Kanaganda yaani ukiiwasha haiwaki inaishia hapo tu kwenye "karibu tigo".
Je unaweza kutumia mbinu gani kukatengeneza mwenyewe bila kwenda kwa fundi ikiwa una laptop. Maana hata ukikatengeneza baada ya muda tatizo linajirudia tena.
Pole mkuu Ila mbona hujaambatanisha picha umekosea kwenye title
 
Pia vina Custom rom inaitwa Gerdaos ila apps nyingi hazijakuwa optimized. Ipo emulator ya j2me apps, Gameboy color, etc. Inashare apps na firefox os.
Wakitoa 4G physical QWERTY phones zenye kioo 2.8" kwenda juu kwa 40,000, itakua poa sana. Wanaotumia second phone kwa kutext kwa kasi watakua wamepata mkombozi.

4G QWERTY phones zote as second phone tofauti na KaiOS bei mkasi
 
Hiko kidude nimekinunua juzi kwenye promesheni ya tigo walikuja mtaani kwetu,
Nimekiweka ndani najuta kukinunua.
 
Wakitoa 4G physical QWERTY phones zenye kioo 2.8" kwenda juu kwa 40,000, itakua poa sana. Wanaotumia second phone kwa kutext kwa kasi watakua wamepata mkombozi.

4G QWERTY phones zote as second phone tofauti na KaiOS bei mkasi
Nokia anazo 4g phone za bei rahisi ila os s30+, ni os ya kiboya kushinda hio kai os. App ya maana ni opera tu.
 
Za S30+ za 4G kuna za physical QWERTY keypad?, bei yake inaweza kuwa under 45,000?, lengo ni as a second phone, hotspot , calls na SMS
Qwerty mkuu umemaaniza A mpaka Z zipo button separate? hapana hazipo hivyo, hizi ni candybar zina T9 keypad.

Ya bei rahisi ni Nokia 105 (kitochi) kina version ya 4g bila camera.
nokia-105-4g-1.jpg

Bei sijajua soko letu ipoje mkuu huko ughaibuni masoko mengi around 50k to 70K.

Na pia information za hotspot ni chache, pengine haina.
 
Za candybar kama kwenye picha hapo juu hapana kwakweli mkuu, smart kitochi kinatosha.

Labda tusubiri siku za mbele, huenda KaiOS watatoa 4G physical QWERTY phones chini ya 45,000
 
Za candybar kama kwenye picha hapo juu hapana kwakweli mkuu, smart kitochi kinatosha.

Labda tusubiri siku za mbele, huenda KaiOS watatoa 4G physical QWERTY phones chini ya 45,000
Version ya jio ni qwerty sema upate mtu achukue india na itolewe lock maana jio ni mtandao wa simu kama Tigo sema upo india.

Ipo hivi
JioPhone-2-03.jpg
 
Version ya jio ni qwerty sema upate mtu achukue india na itolewe lock maana jio ni mtandao wa simu kama Tigo sema upo india.

Ipo hivi
JioPhone-2-03.jpg
Ewaa!!, hiyo ndiyo yenyewe sasa.

Ukiipata hii fresh sana. Hata Amazon India unaagiza tu. Kutoa network lock siyo tatizo, wapo watu kibao tu hapa Bongo wanatoa, kama watu wanatoa network lock za smart kitochi za tiGO na Voda, hawashindwi ya Jio
 
Back
Top Bottom