Tanzania photos (Tanzania's wildlife and natural beauty)

We don't know how lucky we are.....

Absolutely beautiful...

Thank you so much Ndinda...
Keep up great job.. :)
Afro Dent;
Big no! We are absolutely aware of everything we have, be it beuaties, wealthies and the like! It is because we know, then we pretend "not to know" for we can acquire legitimate grounds (from a majority of ordinary minded steet men) for the mistakes we are to deliberately commit in the future. The undeniable fact is that "we know almost everything thing important to us" which in turn makes us "pretend" that we don't know. The only things unknown by an average thinking Tanzanian individual are only those which are unimportant to almost everything living creature in this globe! My big NO for the rest, my dear mum!
Nitaendele kutoa caution kwamba ukiwachukulia watanzania kuwa hawajui, unafanya makosa makubwa sana especially kama wewe ni mtawala. Huwa wanajifanya kuwa hawajui, wakati wanajua. Wachukulie from the grounds kwamba they are very intelligent and tricky (which is the fact) and that their intelligence is rather more destructive than constructive. Then there you are. Otherwise you would better proceed directly "to hell", leaving them alone!
 
jamani hapa ni wapi?

5982116462_320cc80743_b.jpg
 
Huwa ninakasirika sana ninapoona topic kama hizi halafu mkuu wetu hajui umasikini wetu unatokana na nini wakati yeye na waliomzunguka wamekazana kuziuza na kukwiba hata kile kidogo kinachopatikana kutokana na vivutio hivi.
 
Nchi nzuri kama hii ina watu wa ajabu waoga, majizi wakubwa wanajiibia wenyewe loh inauma sana!!
 
MASIKIO, UKITAKA KUJUA MAJINA YA WANYAMAPORI KAMA HAWA TEMBELEA BLOG YA MDAU INAYOITWA TEMBEATZ.BLOGSPOT.COM, masikio ni ni tembo, wa chini ni duma mwenye speed ya kufa mtu, wa chini ni chuo, manywele ni simba, na wengine wengi


Huge tusker by kibuyu, on Flickr
 
How God Sees Tanzania
On safari at the Selous Game Reserve in Tanzania. It's the largest national park in Africa and the second largest in the entire world. It was named after British explorer and hunter Frederick Selous


How God Sees Tanzania by Kevin H., on Flickr


Flying over Tanzania by Kevin H., on Flickr


Clouds over Tanzania by Kevin H., on Flickr


Bend of a River in the Jungle by Kevin H., on Flickr


Wandering River Below by Kevin H., on Flickr


Exploring Africa by Air by Kevin H., on Flickr


Bird's Eye View of Africa by Kevin H., on Flickr
 
Back
Top Bottom