Tanzania haishikiki tena katika utalii, yaipita Kenya kwa mbali

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
Tanzania is home to four travel destinations that have been ranked among the best in the world by TripAdvisor.

In the ranking, Tanzania beat Kenya, which had only one destination on the top 25 slot; Maasai Mara National Reserve.

The Maasai Mara reserve is hailed for the wildebeest migration, the Mara River crossing spectacle. The destination serves as home to different types of wildlife including cheetahs, elephants, zebras, hippos and lions.

"This reserve is connected to Serengeti National Park at the border between Kenya and Tanzania, and is also known for wildebeest migration, seen here crossing the Mara River.

Wildlife to spot here include cheetahs, lions, elephants, zebras and hippos. The area nearby is dotted with the villages of the Maasai people," read part of the report.

The ranking took into account the quality and quantity of traveler reviews and ratings on the site in order to produce the top one per cent.

The ranking also took into consideration the Viator 2022 travel trends report, derived from a survey of 1,000 consumers from the United States of America (USA).

Deloitte's travel industry outlook also contributed to the ranking, highlighting that beaches lead among all destination types, followed by cities and outdoor experiences.

"According to the Viator 2022 travel trends report, outdoor activities grew 153 percent between 2019 to 2021," read part of the report.

The Maasai Mara National Reserve is hailed as one of the most enriching destinations for tourists, both locals and foreign, to embrace the Kenyan experience and culture.

Here is the List:
1. Arenal Volcano National Park, Costa Rica

2. Jim Corbett National Park, India

3. Serengeti National Park, Tanzania

4. Maasai Mara National Reserve, Kenya

5. Kruger National Park, South Africa

6. Fiordland National Park, New Zealand

7. Denali National Park and Preserve, Alaska

8. Kilimanjaro National Park, Tanzania

9. Westland Tai Poutini National Park, New Zealand

10. New Forest National Park, Hampshire, England

11. Snowdonia National Park, Wales

12. Banff National Park, Alberta

13. Cilento and Vallo di Diano National Park, Italy

14. Jasper National Park, Alberta

15. Grand Canyon National Park, Arizona

16. Tarangire National Park, Tanzania

17. Ngorongoro Conservation Area, Tanzania

18. Freycinet, Australia

19. Vatnajökull National Park, Iceland

20. Grand Teton National Park, Wyoming

21. Bryce Canyon National Park, Utah

22. Plitvice Lakes National Park, Croatia

23. Chapada dos Veadeiros National Park, Brazil

24. Uluru-Kata Tjuta National Park, Australia

25. Zion National Park, Utah

MY TAKE; Vipi majirani, hili nalo pia linahitaji mjadala?
 
MY TAKE; Vipi majirani, hili nalo pia linahitaji mjadala?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Watanzania tulikuwa tumelala tukawaacha hawa kenge kutumia vivutio vyetu kujinufaisha, tangu lini Kenya ikaikaribia Tz kwenye tourism? From now onwards huwezi kusikia Kenya ikiikaribia Tz kwenye sekta ya utalii, nangojea gape la mapato ya utalii mwishoni mwa mwaka huu baina ya hizi nchi mbili. Gape la mwaka huu itakuwa aibu hata kulinganisha
 
Wakenya hatuwahi pinga kwamba Tanzania mumebarikiwa na mwenyezi mungu kwenye natural resources. Tatizo lenu ni lazyness uliopitiliza. Mna mbuga za wanyama nzuri, dhahabu, mazao ya kilimo nyingi kwa sababu ya ardhi yenye rutuba e.t.c lakini bado Kenya inawashinda kwenye gdp na gdp per capita. Yaani mna national parks nne kwenye hii top 25 list na bado nyinyi ni masikini wa kutupwa? Aisee sijui mlirogwa na nani?
 
Wakenya hatuwahi pinga kwamba Tanzania mumebarikiwa na mwenyezi mungu kwenye natural resources. Tatizo lenu ni lazyness uliopitiliza. Mna mbuga za wanyama nzuru, dhahabu, mazao ya kilimo nyingi kwa sababu ya ardhi yenye rutuba e.t.c lakini bado Kenya inawashinda kwenye gdp na gdp per capita.

Siku ambayo wale watu milion moja wanaotaka kufa kwa njaa, mkiweza kuwalisha, ndiyo uje na hizo haadithi zako za gdp.
🤣 😂 :p
 
Siku ambayo wale watu milion moja wanaotaka kufa kwa njaa, mkiweza kuwalisha, ndiyo uje na hizo haadithi zako za gdp.
🤣 😂 :p
Hivi siri ni gani? Yaani mnawezaje kuwa na national parks nne ndani ya list ya 25 best national parks duniani na bado mnaendelea kuwa miongoni mwa nchi masikini zaidi duniani?

Cc MK254
 
Hivi siri ni gani? Yaani mnawezaje kuwa na national parks nne ndani ya list ya 25 best national parks duniani na bado mnaendelea kuwa miongoni mwa nchi masikini zaidi duniani?

Cc MK254

Sisi siyo masikini. Sisi tuko middle income, na speed yetu ya growth rate ni nzuri.
Ndiyo maana kwenye basic needs, we are self sufficient. Hatutegemei chakula cha msaada kama mnavyotutia aibu kupokea chakula cha msaada kutoka uarabuni jangwani.
 
Wakenya hatuwahi pinga kwamba Tanzania mumebarikiwa na mwenyezi mungu kwenye natural resources. Tatizo lenu ni lazyness uliopitiliza. Mna mbuga za wanyama nzuri, dhahabu, mazao ya kilimo nyingi kwa sababu ya ardhi yenye rutuba e.t.c lakini bado Kenya inawashinda kwenye gdp na gdp per capita. Yaani mna national parks nne kwenye hii top 25 list na bado nyinyi ni masikini wa kutupwa? Aisee sijui mlirogwa na nani?
Nilidhani ungesema Kenya inaishinda Tz on ground hususan kwenye maisha ya mtu mmoja mmoja kumbe unaongelea makaratasi
 
Watz ni watu wamatokeo sio mchakato,wakati Mh Ana pambana kutengeneza film ya Royal tour watu waliongea mbovu sana,sasa matokeo yanatoka wanajificha wanasifu.Tuache Tabia mbaya na kuishi kimazoea ...it's as if hizi mbuga ndio wamezisanukia leo...wakati zipo miaka yote, Wakenya mnajua sana kujituma sisi ndio tumeanza kubadilika sahv sasa sijui tumechelewa kwa kiasi Gani
 
Mkuu ujio wa watalii wengi sio kwasababu ya Royal tour bali hii ni high season, kuhusu Tz kuamka ni kweli imeamka na aliyetuamsha nadhani anajulikana wala hakuna haja ya kumtaja.
 
Mkuu ujio wa watalii wengi sio kwasababu ya Royal tour bali hii ni high season, kuhusu Tz kuamka ni kweli imeamka na aliyetuamsha nadhani anajulikana wala hakuna haja ya kumtaja.
Wacha mchezo. Mwaka huu watalii wameongezeka sana kushinda miaka za nyuma na ni kwa sababu ya royal tour. Huwezi kujificha nyuma ya kisingizio kwamba ni msimu wa high season.
 
Hivi siri ni gani? Yaani mnawezaje kuwa na national parks nne ndani ya list ya 25 best national parks duniani na bado mnaendelea kuwa miongoni mwa nchi masikini zaidi duniani?

Cc MK254
Hivi tatizo ni lipi, Inawezekanaje nchi yenye GDP kubwa na per Capita kubwa lakini bado watu wanaokufa kwa njaa?, Lazima Kuna tatizo
 
Kenya claims to be rich I don't know in which terms. People have no food, people have no settlement ( habitat), people and animals dying of hunger, what a shame!!
And shamelessly they come here claiming to have a bigger GDP, what for?
 
Wacha mchezo. Mwaka huu watalii wameongezeka sana kushinda miaka za nyuma na ni kwa sababu ya royal tour. Huwezi kujificha nyuma ya kisingizio kwamba ni msimu wa high season.
Tony254, hivi unadhani watalii wanapanga safari zao ghafla namna hiyo, matokeo ya Royal tour yataanza kuonekana mwakani, haiwezikani hata miezi mitatu bado tangu hiyo film ilipoachiwa tayari watalii wameiona, wakaanza kupanga safari ya kuja, kwahiyo Ina maana hawana mipango Yao ya maisha?.

Mimi ninakumbuka nilipokua huko kwao, wazungu wengi hupanga safari zao za kuja kutalii sio chini ya miezi sita kabla, ni sawa na huku kwetu jinsi tunavyopanga mipango/vikao vya harusi. Kwao kutalii ni mchakato unauchukua muda mrefu wa kujiandaa, matokeo ya Royal tour ni bado kabisa kuanza kuonekana
 
Wewe uliishi nchi gani ya Wazungu?
 
Kenya claims to be rich I don't know in which terms. People have no food, people have no settlement ( habitat), people and animals dying of hunger, what a shame!!
And shamelessly they come here claiming to have a bigger GDP, what for?
Because only things they have to show in order to remain relevant and to win this battle is GDP, otherwise they have nothing to show
 
Sakaja na Igathe ni wagombea wa ugavana wa Nairobi wote wanalia na umaskini mkubwa wa watu wanaoishi kwenye slams za Nairobi ( debate live Kwa TVs) alafu anakuja mtu anasema oooh GDP za IMF sijui zimefanyaje ....Wacha maneno mingi maisha ya mtu mmoja mmoja ndo ishu ya kuongea, uwezo wa kupata chakula, afya, elimu, mavazi, makazi...hivi ndo basics then bring your IMF stories.
 
Back
Top Bottom