Prosperity96
Senior Member
- Sep 22, 2015
- 187
- 178
mhh okay,lakini tusiende mbali sana maana ishu yako kubwa ni uhitaji wa michango yako ya NSSF tu,jitahidi kufuata utaratibu wa kufanya marekekebisho ya michango kama ilivyoelekezwa na wadau huko juu ,ila michango ya Mwaka na miezi 9 kwa sababu ulikuwa haukatwi chochote kwa ajili ya NSSF na mwajiri wako katika kipindi hiko ni ngumu kuidai,na hatujui ilikuwa mwaka gani pia. ila nakutakia kila kheri katika mchakato wako.hapana,kuna mikataba yote ya miaka mitano na michango ya nssf ilivyokuwa ikiingia