Anatafuta kazi ama shughuli yoyote, inayohitaji vyeti ama isiyohitaji vyeti.

Ed Kawiche

JF-Expert Member
May 28, 2020
2,632
4,748
Habari wakuu.
Nipo na binti wa miaka 25, ni mkazi wa Wilaya ya Dodoma mjini Kata ya Ihumwa.
Elimu yake ni Stashahada ya mahusiano kazini kati ya mwajiri na mwajiriwa (diploma in industry relation/labour relation.)
Mwaka 2020 alihitimu na kufanya mafunzo ya miezi6 katika ofisi ya tume ya uamuzi na usuluhishi (CMA) Moshi Mjini, Kilimanjaro.
Yupo vizuri katika kurekodi data, ku plan sehemu ya kazi, kufundisa na pia kusimamia usalama mahali pa kazi, wafanyakazi na mpangilio wa usalama katika mazingira ya kazi.

Anapendelea zaidi kufanya kazi maeneo ya Mji wa Dodoma.

"Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa atakaye kuwa tayari kumwajiri huyu binti."
Karibu PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom