JF Marketer
Member
- Jan 3, 2009
- 80
- 34
Hodi hodi jukwaani kwa Waungwana wana JF,
Nitumaini kwa ukarimu wenu nyote mmesema karibu mgeni.
Nami naingia na kuanza kutoa shukrani za dhati kwa Uongozi wa Jamii Media Inc kwanza kuniruhusu kuwa mwanachama na pili kutumia abbreviation "JF" kwenye jina langu na tatu kunipa kibali cha kupokea na kuweka matangazo ya kibiashara hapa jukwaaani.
Wito kwa wanachama na wasio wanachama:
Tumeanza kupokea matangazo ya kibiashara. Lengo ni kulifanya jukwaa letu liwe na vyanzo vya mapato vitakavyoliwezesha kujiendesha kwa ustahimilivu kinyume na sasa ambapo linategema pesa toka mfukoni mwa watu wachache.
Hakuna ubishi tena juu ya uwezo wa tofuti, majukwaa na blogs katika kuwasilisha ujumbe kwa jamii. Mtakumbuka katika mwaka 2008 zaidi ya asilimia 70 ya habari motomoto zilizotikisa nchi yetu zilianzia hapa.
Na kwa upanda wa matangazo ya kibiashara japo haikuwa lengo kwa mwaka 2008, waliotangaza nasi wameona mafanikio. Traffic imeongezeka mara dufu katika site zao.