Tangaza na JF, Mahali Jamii inapokutana

Status
Not open for further replies.
Nauza Rav4 3doors Ya mwaka 2006...haina tatizo lolote ..haija wahi kugonga wala kugongwa..mawasiliano zaidi piga 0658076555
 
nauza nyumba...ipo mtoni kijichi beach kabisa...hatua chache kutoka baharini...majirani wa huko ni akina salim ahmed salim...salimini amour pia amejenga jirani hapo...na kamanda zombe pia amejenga huko...nyumba mpyaa sana toka ijengwe haijawahi kukaliwa na mtu...na pia nyuma ya nyumba kuna kiwanja kikubwa kinachotoa nyumba nyingine tena...
kwa mawasiliano nipigie 0653331515
 
Nyumba inauzwa iko majohe chuo, nimpya aijakaliwa na m2 vyumba v2 masta sebure iko poa xana.
 
Mm ni mtengenezaji na muuzaji wa batik kama vikoi vyenye maua mazuri tofaut na vile vilivyozoeleka.Pia vitambaa vya batik kwa ajiri ya kushona tena tunapokea oda za sabun za kunawia mikono (handwashingsoap) tuwasiliane 0717539573 au email: stanslausd@yahoo.com
 
Natafuta mwalimu wa sekondari wa kubadilishana naye kituo cha kazi. Yeye aje URAMBO-TABORA nami nije halmashauri yoyote mkoani SHINYANGA(yaani kati ya KAHAMA, SHINYANGA VIJIJINI au MJINI, KISHAPU na USHETU. Pia BUKOMBE-GEITA na NZEGA-TABORA.Aliyetayari tuwasiliane kwa sim Na.0783496326 au 0765780233
 
Nauza BB bold 9900 ipo katika hali nzuri, bei naanzia 420 maelewano yapo. Nitafute kupitia 0754787388
 
Nauza bankcharger ya samsung galax x 2 na cover pia....anaehitaji piga sim namba 0658904648
 
Nauza kiwanja kipo Suye kijenge arusha.

KINA UZIO WA TOFALI ZA WENYEJI PEMBEZONI,UMEME NA MAJI IPO.

Miguu 28 kwa 24,hakuna dalali.

Nipe mil 33

Nipigie 0764291222
 
Safi sana aisee! Tutawatumia sana kuitangaza kampuni yetu! sisi ni wajasiriamali wa kitanzania ambao tunaishi China.Kwa kuweka jukwaa maalum la matangazo, mtaweza kuondoa wale ambao wanaweka matangazo yao kumbe ni matapeli.Hii itasaidia kuwaweka matepeli pembeni.

Kwa ushauri, pia pindi mnapochukua matangazo kutoka kwa kampuni au watu binafsi ni vizuri kuwa mnafatilia kidogo, kama ni kampuni basi mjitaidi kujua ata office zao ziko wapi kama ni mtu binafsi basi awe anatoa copy ya ID yake..ili ikitokea katepeli mtu kupitia hayo matangazo akamatwe na kushitakiwa. Maana kwenye jukwaa lenu humu kuna matepeli pia.


Traders Easy Way-We Supply According to your Budget - Projectors and Screens

Asanteni Wana JF!
 
Nahitaji mzamini wa kazi zangu za filamu.mimi ni mtunzi naandika stori na script za filamu za kutisha na drama a.k.a love story,nipo tayari kwa mkataba wowote ilimladi ni zaminiwe kazi zangu tafadhari ni saidieni ndugu.
simu namba;0689949208. au email;paschaluhwala@yahoo.com
 
Nauza kiwanja mita40x40 kwa milioni4!!!tu kibaha mailimoja..pia nauza shamba heka 30 kisaarawe milioni30.usihofu hatimiliki zipo.hiisio yakukosa!. phon;0689949208.
 
Nauza galaxy s advance kwa tsh 315,000. Imetumika mwez 1 na siku 9. Kama utaihitaj nitafute kwenye no 0652449233
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom