Tanasha (aliyekuwa mwanamke wa Diamond Platnumz) afanya surgery ya lips

Ungekua mpare labda, wachaga enyewe siku mmekua vidampa mie nirudi upya class kujifunza,

Unataka tukoboaneee?? Lol
Mi wa kiume aiseee wewe si wakiume pia astgfuraiiiiiii 😅😅😅😅😅
 
Kumbe huyu dada pia waga hajielewi🙄🙄sijawahi kujua pole yake.
 
Hii ni non surgical procedure inaitwa lip fillers na sio permanent hivyo baada ya muda anatakiwa akafanye touch up ama sivyo anarudi kama alivyokuwa
Bora arudi alivyoku maana mdomo kama kitako cha kuku..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom