tanasha

  1. The Eric

    Tanasha (aliyekuwa mwanamke wa Diamond Platnumz) afanya surgery ya lips

    Hello jukwaa la celebs Siku za hivi karibuni recently...Mwanamama Socialite wa Kenya Tanasha Dona ambaye ni mwanamziki wa miondoko ya rapper, ambaye alikuwa na mahusiano na msaani maarufu nchini Diamond platnumz vile vile walibahatika kupata mtoto....... Bi dada huyo ametrend kwenye social...
  2. K

    Zuchu amkana Diamond si mpenzi wake baada ya sakata ya Tanasha

    Malkia wa Bongo fleva, Zuhura Othman almaarufu Zuchu kwa mara nyingine amelazimika kujitokeza na kufafanua uhusiano wake na bosi wa WCB, Diamond Platnumz. Huku gumzo kubwa ambalo linawahusisha yeye, Diamond, Tanasha Donna na Mama Dangote likiendelea, msanii huyo mzaliwa wa Zanzibar ameibuka na...
  3. music mimi

    Tanasha Dona hapendi wanaume wanaonuka jasho (vikwapa)

    Kama msela una kijasho basi watoto wazuri kama Tanasha utawala kwa macho. Wanapenda wanaume wasafi wanaonukia vizuri. Kama una kikwapa tafuta wa kufanana nae.
  4. Frumence M Kyauke

    Risper Faith amemwanikaTanasha Donna kwa madai ya kushindwa kulipa deni lake

    Mwanasosholaiti Risper Faith amemwanikaTanasha Donna kwa madai ya kukosa kulipia pesa za upasuaji wake. Jumbe zilizopakiwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Edgar Obare, Risper alidai kuwa Tanasha alimwendea na kumuuliza kuhusu upasuaji wa urembo na uzoefu wake. Risper alisema kisha...
  5. Frumence M Kyauke

    Omah Lay ajibu tetesi zinazomwandama kati yake na Tanasha Donna

    Mwanamuziki Omah Lay kutoka Nigeria amefutilia mbali uvumi kuwa anachumbia aliyekuwa mpenzi wa Diamond Platnumz, mwanamuziki Tanasha Donna. Alipokuwa kwenye mahojiano baada ya kutua nchini siku, mwanamuziki huyo aliweka wazi kwamba kwa sasa hana mchumba. Hata hivyo staa huyo wa muziki alifichua...
  6. I

    Tanasha atua nchini, gari la Diamond lampokea

    MZAZI mwenza wa supastaa wa Bongo Fleva barani Afrika, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch, usiku wa jana Januari 22, 2020 ametua nchini akiwa na mtoto wake Naseeb Junior wakitokea kwao nchini Kenya. Tanasha amepokelewa na gari ya Diamond katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  7. U

    Kilichovunja ndoa ya Diamond na Tanasha ni hiki

    Ni malaika slt, binti kutoka Australia, Mond alipagawa akafa video vixen wa jeje
  8. B

    Uwezekano wa Diamond Platnumz kuendelea kuishi na Tanasha ni Mkubwa sana

    Wengi huwa nawaambia ukiona mtu na demu wake au mke wanagombana usiingilie kwa kumchamba au kumsema vibaye mwingine au kumuelekeza chuki dhidi ya mmoja no uta ahibika, lazima tuishi kwa kuwaelewa na kuwaombea ipo siku watarudiana. Niliwahi kwenda kuamua ugomvi wa binam na mumewe nikamlazimisha...
  9. H

    Binafsi siamini ni kweli Tanasha na Mondi wameachana

    Kwa upande wangu nimekuwa ngumu kuamini Tanasha na Mondi wameachana kwasababu hakuna strong reason ya kuachana kwao kwa wanaoeneza hizo tetesi. Huwezi kusema inaonekana wameachana eti kwasababu Tanasha ameunmfollow Diamond na familia yake kwani insta ndio maisha? Nimeuzunishwa na wapambe wa...
  10. Burnaboy

    Mondi kusamehewa iwapo atamuacha Tanasha? Sidhani

    Mimi ni fan wa Mondi. Kama mtu mwenye uwezo wa kuchambua mambo, naweza kuamua kumu "un-fan" muda wowote. Anguko la Mondi linaweza kutokana na mambo ya mahusiano kwa sababu hizi (3): 1. "Ego" - kwa tabia anataka lazima awe mwenye "control" kwa mwenza wake. Uhalisia, Ili kufanikiwa kwenye...
  11. Chinga One

    Wakina dada chukueni huu ushauri wa Tanasha...

    "Asubuhi kabla ya jogoo kuwika uniamshe na kimoko" nami NAKAZIA hapo hapo,kwa afya ya akili na mwili hii kitu ya asubuhi ni muhimu sana utafiti unaonyesha 99% ya wanaopata cha asubuhi wanaamka na furaha yani wanakua fresh na akili inafanya kazi mara 100 ya mtu asiyepata asubuhi,na hawana hatari...
  12. Johari msabila

    Tanasha Donna: Sikuzaliwa kuwa mama wa nyumbani

    Mwanamziki Tanasha Donna ambaye amezaa na mwanamuziki mwenzake wa Tanzania Diamond Platinumz kwa jina maarufu Simba, Tanasha amesema anaulizwa mengi kuhusu yeye kwa lile swala la kuwa maam wa nyumbani, kutoka kwa mashabiki wake. Na kusema hakuzaliwa kuwa mama wa nyumbani. Pia, asema yeye pamoja...
  13. H

    Tanasha ni mtu sahihi kwa Diamond Platnumz

    Leo tuje kwenye maisha binafsi ya wasanii wetu nje ya mziki wao Tokea diamond awe na uhusiano na tanasha, mondi ametulia sana usikii sijui katoa na Nani Nampa pongezi tanasha kwa kumtuliza mondi maana mondi kiukweli kweli alizidisha kuchepuka hata kama ni mwanaume sio kwa vile. Tanasha ni mtu...
  14. MJENGA

    Zarina Hassan na Tanasha ni ndugu, Diamond anachezewa mchezo tu

    Nimeisikia mahali kuwa kumbe mke wa zamani wa Diamond Platnumz na yule wa sasa Tanasha Dona, sijui Sembe, ni ndugu na kwamba Zari anamtumia Tanasha kum-monitor na kum-control Diamond. Lengo ni kumfilisi kabisa na mwisho wa siku wamwache solemba. Unaambiwa Zari ni mafia aliyeshindikana na kwamba...
Back
Top Bottom