Taliban yaamuru TikTok kupigwa marufuku kwa madai inapotosha Vijana

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Serikali ya Taliban imeagiza 'App' maarufu ya TikTok kupigwa marufuku kwa madai kuwa inasababisha Vijana Nchini Afghanistan kupotea

Haijafahamika wazi ni lini marufuku hiyo itaanza lakini Msemaji wa Taliban, Inamullah Samangani amesema hatua hiyo ilikuwa ya lazima ili kuzuia kizazi hicho kupotoshwa

Mbali na TikTok, Mchezo uitwao PUBG nao umepigwa marufuku, na Taliban imesema itapiga marufuku Chaneli za Runinga kurusha maudhui yanayoonekana kukosa maadili

=======

The Taliban has ordered a ban on video-sharing app TikTok and online multi-player game PUBG, insisting they were leading Afghan youths "astray"

The militant group said it would also ban TV channels from airing what it deemed as "immoral material"

It comes after recent bans on music, movies and television soap operas

The Taliban promised a softer approach to government when it took power last year, but has increasingly curtailed freedoms especially for women

The group was known for their severe version of Islamist rule that characterised their first stint in government between 1996 and 2001

Taliban spokesman Inamullah Samangani said that the latest ban was necessary to "prevent the younger generation from being misled"

But it is not clear when the ban will come into place, and for how long

This is the first time the group has banned an app since they came to power last August

TikTok and PUBG had become even more relevant with young Afghans in recent months because many other forms of entertainment have been banned, says the BBC's Afghan Service editor Hameed Shuja

TikTok in particular has been popular with young men who enjoy filming short, humorous video clips and posting them on the platform, says our colleague

PUBG, which is short for PlayerUnknown's Battlegrounds, is an online shooting game created by a South Korean developer that has also been quite popular. A previous attempt by the former government to ban PUBG ended up unsuccessful

The number of internet users in Afghanistan has grown rapidly in recent years along with its youth population, with about nine million users currently

Nearly two-thirds of the country's population of 39 million are aged 25 and below

The ban was announced on Thursday, the same day as when four separate explosions tore through cities across Afghanistan, including at a Shia mosque in the city of Mazar-e-Sharif

At least 31 people were killed and 87 wounded. The Islamic State group has admitted to carrying out the attack

On Thursday state news agency Bakhtar News reported that the Taliban had arrested the mastermind of the mosque attack

Source: BBC
 
Hawa watakuja kujipiga marufuku hadi wenyewe. Na huenda hata kujamba kukawa ni adhabu ya kunyongwa huko daah!
 
Halal kabisa maana watu wanavyokatika viuno huko na kujiremba hujui Me na Ke tofauti zao

Ila sijui kama huo ndio upotoshaji
 
Allah awaongoze katika kila hatua inshaAllah .

Dunia imechafuka sana sijui Mwenyezi Mungu anasubiri nini kuleta Qiama
 
Serikali ya Taliban imeagiza 'App' maarufu ya TikTok kupigwa marufuku kwa madai kuwa inasababisha Vijana Nchini Afghanistan kupotea

Haijafahamika wazi ni lini marufuku hiyo itaanza lakini Msemaji wa Taliban, Inamullah Samangani amesema hatua hiyo ilikuwa ya lazima ili kuzuia kizazi hicho kupotoshwa

Mbali na TikTok, Mchezo uitwao PUBG nao umepigwa marufuku, na Taliban imesema itapiga marufuku Chaneli za Runinga kurusha maudhui yanayoonekana kukosa maadili

=======

The Taliban has ordered a ban on video-sharing app TikTok and online multi-player game PUBG, insisting they were leading Afghan youths "astray"

The militant group said it would also ban TV channels from airing what it deemed as "immoral material"

It comes after recent bans on music, movies and television soap operas

The Taliban promised a softer approach to government when it took power last year, but has increasingly curtailed freedoms especially for women

The group was known for their severe version of Islamist rule that characterised their first stint in government between 1996 and 2001

Taliban spokesman Inamullah Samangani said that the latest ban was necessary to "prevent the younger generation from being misled"

But it is not clear when the ban will come into place, and for how long

This is the first time the group has banned an app since they came to power last August

TikTok and PUBG had become even more relevant with young Afghans in recent months because many other forms of entertainment have been banned, says the BBC's Afghan Service editor Hameed Shuja

TikTok in particular has been popular with young men who enjoy filming short, humorous video clips and posting them on the platform, says our colleague

PUBG, which is short for PlayerUnknown's Battlegrounds, is an online shooting game created by a South Korean developer that has also been quite popular. A previous attempt by the former government to ban PUBG ended up unsuccessful

The number of internet users in Afghanistan has grown rapidly in recent years along with its youth population, with about nine million users currently

Nearly two-thirds of the country's population of 39 million are aged 25 and below

The ban was announced on Thursday, the same day as when four separate explosions tore through cities across Afghanistan, including at a Shia mosque in the city of Mazar-e-Sharif

At least 31 people were killed and 87 wounded. The Islamic State group has admitted to carrying out the attack

On Thursday state news agency Bakhtar News reported that the Taliban had arrested the mastermind of the mosque attack

Source: BBC
Mbona Taliban ndiyo wanapotosha jamii kuliko TikTok?
 
Wameipiga tu ban kama ambavyo Trump aliipga ban Biden akaiondoa kwenye ban.
US walienda kuwaondoa Taliban na wameondoka wamewaacha Taliban. Sijui hiyo vita kwao ni mafanikio au hasara
 
I'la duh hii dunia hakuna watu wagumu Kama waafghanistan na wavietnam.
Vitani miaka 21 na taifa kubwa la Marekani na Bado wameendelea na msimamo wao was taifa la kiislam la Afghanistan.
Wababe wote wa dunia inapofikia swala la Afghanistan hunyanyua mikono juu na kuombea isitokee kuwasogelea Tena.
Soviet russia na Us na England wanamjua Ni Nani taleban
 
tukirudi kwenye uhalisia mbali na udini , hizi social media ndio njia ya walioendelea kuzidi kututoa kweny reli
 
Dhambi ni dhambi tu, hakuna cha mitandao ya kijamii wala cha runinga za kigeni.

Sodoma na Gomorrah ziliharibiwa bila ushawishi wa mitandao ya kijamii na vivyo hivyo kwa gharika ya Nuhu. Hivyo waache kusingizia mitandao ya kijamii.

Taliban ndio watu waliopotoka karibu kushinda wote ktk dunia hii wala hayo hayawezi kuwaingiza mbinguni, wanajihangaisha bure tu.
 
Back
Top Bottom