Swali: Je, kitu gani cha kumfurahisha mpenzi wako?

Alfred88

Senior Member
Jul 25, 2016
125
58
...unadhani ni kitu gani au jambo gani ukimfanyia mpenzi wako either wa kike au wa kiume, atafurahi zaidi na kuzidisha mapenzi kwako/ akae akikukumbuka kila wakati na kutoenda kwa mwingine, means kukusaliti..??
 
mwanadamu ni kiumbe alieumbwa kwa matamanio ya hali ya juu sana..leo akipata baiskeli kesho atataka gari , akipata gari atahitaji tena ndege..

kikubwa fanya yaliyondani ya uwezo wako..kwasababu mwanadamu siku zote hariziki..

The greatest love of all is to love yourself.
 
Mpende kwa dhati kwani Upendo huleta muongozo wa mambo mengi sana ambayo kupitia hayo utakuwa ume-play part yako tu na siyo Guarantee ya kutosalitiwa kuna wanao pewa kila kitu chini ya hii jua na still wanamegwa ama kumega nje ya ndoa...
 
Back
Top Bottom