ni speed ya kawaida sana nionavyo kwa uelewa wanguMbps
1 Mbps = 0.125 MBps
Sijui unaishi Tanzania ipini speed ya kawaida sana nionavyo kwa uelewa wangu
kuna mda 4g inafikaga broo hio speed hapo uafadhali upo mkubwa kwa advantage 2, kupatikana kokote, bei ni affordable tofauti na bando za Mtoto wa mtama za mchongoSijui unaishi Tanzania ipi
100 Mbps kwa Tanzania ni kwa 5g tu na hapo ulipie laki 4 walau utaipata kwa uhakika,
Kuna mdau Ana Claim Starlink ya Kenya inapiga kazi Tanzania.Hii kitu kama vile inawezekana!! Starink Accessories (nearby country)+ VPN Chief-Mkwawa hapa vipi mkuu!? Linawezekana hili!?
Marekani wanatumia Paypal mpk bitcon kama njia ya kununua na kuuza bidhaa.Hii kitu ni nzuri,lkn kwa usalama wa taifa sio poa kabisa.
CCM ni inatakiwa itoke madarakani ndiyo tutayaona maendeleoSema CCM wana ujinga mwingi sana!
Kwahiyo unataka na sisi tuwe tunauziana bunduki? Una hoja nzuri ila umetoa mifano ya hovyo sana.Marekani wanatumia Paypal mpk bitcon kama njia ya kununua na kuuza bidhaa.
Bunduki, Marekani zinauzwa kwenye maduka km bidhaa zingine, ukifikisha miaka 18 unaenda kununua bunduki.
Nguo zinazofanana na sare za jeshi, zinauzwa marekani mitaani lkn bado ni taifa lenye nguvu na uchumi mkubwa.
Tanzania ambayo hakuna kutumia paypal, wala bitcon wala bunduki haziuzwi na kuna rasilimali nyingi lkn bado ni nchi masikini sana. Tangu 1961 bado serikali inahangaika na matundu ya choo, maji masafi, afya na umeme. Leo umeme ni wa mgao
Huo usalama wa taifa sijui ndiyo nini? Bongo bahati mbaya
Broadband ni tofauti na hizi mobile data, nchi nyingi duniani Mobile data ni Ghali, Hata uuziwe GB 5 kwa 1000 still kwa dunia ya leo utajibana Bana hata Full HD hutaangalia.Binafsi nampinga Nape kufanya gharama za internet kuwa ghali sana nchini Tanzania. Huko Zambia hata hao Starlink wasipokuwepo bado makampuni yaliyopo yanauza bundle bei rahisi sana. Nilienda Tunduma nikaona mitandao ya Zambia wanauza 2Gb kwa kwacha 10 kama Tsh 1170/=..
Nape ametunyima hii fursa, najua Rostam ndiye kinara wa hili ili afaidi na Tigo lake.Kampuni ya kusambaza mtandao ya Starlink ya Elon Musk imepewa kibali cha kutoa huduma nchini Zambia.
Kwa sasa wazambia wataanza kupata internet ya kasi zaidi kutoka Starlink.
Kumbuka Starlink inakupa internet ya 1 Terabyte kwa chini ya shilingi laki 1 kwa mwezi kwa kazi kubwa na ukimaliza hiyo 1T kabla mwezi haujaisha unapunguziwa speed ila bado utaendelea kupata huduma.
Tanzania kwa sasa Laki moja Vodacom wanakupatia GB 48. Kwa sasa 1T ya Vodacom ni shilingi milioni 2.2 huku ukipata kasi ya kobe.
Watanzania kwenye digitali tunaachwa nyuma sana na nchi zingine.
Zambia becomes sixth African country to get SpaceX's Starlink satellite internet service
Residents can now place orders for their Starlink kits directly on the companys websiteafrica.businessinsider.com
Nami NAWAZA KWA SAUTI haiwezekani vifurushi vikauzwa kama una nunua bando online halafu unaungwa kwa satelite direct?Hii kitu kama vile inawezekana!! Starink Accessories (nearby country)+ VPN Chief-Mkwawa hapa vipi mkuu!? Linawezekana hili!?
Uelewa wako ni mdogo sana kama jina lako.Kwahiyo unataka na sisi tuwe tunauziana bunduki? Una hoja nzuri ila umetoa mifano ya hovyo sana.
Hukui waziri mwenye dhamana ya mawasiliano akiwa hajui tofauti ya internet na mtandaoTanzania kwa sasa Laki moja Vodacom wanakupatia GB 48. Kwa sasa 1T ya Vodacom ni shilingi milioni 2.2 huku ukipata kasi ya kobe.