Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,446
Takribani mwezi sasa umepita Nguli sijakuona iwa unachangamsha jukwaa pia hata meza kwa kujivinjari na Nguli kubwa vp mzee mabox yamekuelemea?
Masa jana kasema amekuacha Zenji umenogewa na pweza zenji? Maana wengi wakipata totoz za zenji husahau kabisa Bara.
Nguli upo wapi sema kama mabox yamekuelemea? Vivyo Nguli nakukumbusha tarehe 13 February sio mbali sana kutoka leo niagize angalau Kanzu niipokee kwenye Sea Star II.
Uthibitisho wako kama upo jukwaani kama guest gonga tu senks ili tujue umenogewa huko aliko kuacha Masa.