Mh zamani mlikuwa na upendo humu!!!!!!
oooh....this thread.....those days....
Enzi za kudumisha Mila....unazikumbuka eh?
Siku hizi ni enzi za "Kutafuta mchumba"
Hivi haiwezekana kurudi kama zamani?wacha tu Gaga....enzi hizo ulikuwa hutaki kubanduka JF.....ilikuwa ni burudani tosha.....siku hizi sijui imekuwaje
Maharamia haiwezekani wakafungiwa?Siku hizi maharamia kibao
na hao wachumba hatujui kama wanapatikana au laa....enzi nzile ilikuwa ukidumisha mila inajulikana kabisa mila ilidumu hakukuwa na longolongo......kama siku zilikuwa zinaganda tungegandishia pale pale.....
halafu na wewe.......nkiki??
Enzi za kina Naniliu unazikumbuka?
babu,hivi ulishajua id ya bibi?usikumbushie ya zamani,bibi akikuacha saa hizi sijui utaponea wapi.
Enzi za kina Naniliu unazikumbuka?
ha ha....hizo sasa ndio zilikuwa siku za asali....wacha tu bana
Enzi za kudumisha Mila....unazikumbuka eh?
Siku hizi ni enzi za "Kutafuta mchumba"
Yaani bila hata ya kukutana uso kwa uso?enzi zitakazokuja watu wataoana online, pheew!!..
Yaani bila hata ya kukutana uso kwa uso?
Halafu yale mambo itakuwaje sasa kuyatimiza au ndio skypendio tunaelekea huko Gaga......tuombe uzima tutakuja kuona mengi
Yaani bila hata ya kukutana uso kwa uso?
Sijajua bana, vipi au ndo wewe nini?