Siwashauri muoe wanawake wasomi, jana nimelazwa na njaa na mke wangu, hawajui kubembeleza

Mkuu Kamshauri Mwenzio Huku.

Kwema watu wa mapenzi?
Aisee, iko hivi kama hujaoa nakushauri usioe mwanamke msomi kabisa, mimi mshikaji wenu nimeoa mwanamke msomi tena wa kiwango cha masters tena ya Birmingham City University pale uingereza ila cha moto nakipata.jana usiku bana tulitofautiana kauli kidogo na mwenzangu, me nikaudhika nikadhira na kula msosi wake aliopika,nilidhira makusudi ili labda anibembeleze lakini wapi ndio kwanza mwenzangu akawa anachat na ndugu zake huko watsap wanapeana umbea wa huko kwao wanacheka,asubuhi nimeamka na ubao wa kufa mtu nikijua atanibembeleza ila hakufanya hivyo,nikaona nisije kufa kwa nenge kizembe nikaenda kwa mchepuko wangu mmoja hivi mama ntilie,amenihudumia vizuri hadi raha,mpaka sasa bado niko kwake,wife the only thing kaniuliza this evening ni kuwa utakula au hutokula ili nisijisumbue kukupukia?
Bado niko kwa mchepuko till now nawaza whether nirudi home or not.
Asee wanawake wasomi ni pasua kichwa sana,siwashauri Muwaoe kabisa.
Asante.
Ukisha rudi home utatujuza kilicho endelea
 
Mwanamke msomi kuishi naye kuna hitaji moyo na commitment ya ziada tena hususani kama ana ajira yenye mshahara mnono

Mbaya zaidi awe amekuzidi
 
Kwema watu wa mapenzi?
Aisee, iko hivi kama hujaoa nakushauri usioe mwanamke msomi kabisa, mimi mshikaji wenu nimeoa mwanamke msomi tena wa kiwango cha masters tena ya Birmingham City University pale uingereza ila cha moto nakipata.jana usiku bana tulitofautiana kauli kidogo na mwenzangu, me nikaudhika nikadhira na kula msosi wake aliopika,nilidhira makusudi ili labda anibembeleze lakini wapi ndio kwanza mwenzangu akawa anachat na ndugu zake huko watsap wanapeana umbea wa huko kwao wanacheka,asubuhi nimeamka na ubao wa kufa mtu nikijua atanibembeleza ila hakufanya hivyo,nikaona nisije kufa kwa nenge kizembe nikaenda kwa mchepuko wangu mmoja hivi mama ntilie,amenihudumia vizuri hadi raha,mpaka sasa bado niko kwake,wife the only thing kaniuliza this evening ni kuwa utakula au hutokula ili nisijisumbue kukupukia?
Bado niko kwa mchepuko till now nawaza whether nirudi home or not.
Asee wanawake wasomi ni pasua kichwa sana,siwashauri Muwaoe kabisa.
Asante.

Na kama yuko humu anasoma ujumbe wako???
 
Sasa si umesusa kula

Yaani baba mzima na ndevu zako unasusa kula

Walah hata ningekuwa.mie sikuulizi, tena nakula nakwangua hadi ukoko.

Ujiandae kuhesabu gypsum!!
 
Mwanamme ndio wakumbebeleza mwanamke.

Tena huyo msomi wako si wa pwani huyo, angekuwa wa pwani ndio kwanza angekoleza mkaa akifukiza maudi na ma liwa kichwani, kimyaaa kitandani. Na hiyo kukuuliza utakulahuli asingekuuliza, ungekuta sahani na vyombo vina mabaki ya chakula unachokipenda, kimeshaliwa. Mwenyewe ungeomba msamaha.
Bibi Faiza false.....kama wanawake wangekua wanaishi hv ndoa nyingi zingekufa ..
 
Mwanamme ndio wakumbebeleza mwanamke.

Tena huyo msomi wako si wa pwani huyo, angekuwa wa pwani ndio kwanza angekoleza mkaa akifukiza maudi na ma liwa kichwani, kimyaaa kitandani. Na hiyo kukuuliza utakulahuli asingekuuliza, ungekuta sahani na vyombo vina mabaki ya chakula unachokipenda, kimeshaliwa. Mwenyewe ungeomba msamaha.
Bibi Faiza False ...
 
Back
Top Bottom