Siwashauri muoe wanawake wasomi, jana nimelazwa na njaa na mke wangu, hawajui kubembeleza

Mwanamme ndio wakumbebeleza mwanamke.

Tena huyo msomi wako si wa pwani huyo, angekuwa wa pwani ndio kwanza angekoleza mkaa akifukiza maudi na ma liwa kichwani, kimyaaa kitandani. Na hiyo kukuuliza utakulahuli asingekuuliza, ungekuta sahani na vyombo vina mabaki ya chakula unachokipenda, kimeshaliwa. Mwenyewe ungeomba msamaha.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kwema watu wa mapenzi?

Aisee, iko hivi kama hujaoa nakushauri usioe mwanamke msomi kabisa, mimi mshikaji wenu nimeoa mwanamke msomi tena wa kiwango cha masters tena ya Birmingham City University pale uingereza ila cha moto nakipata.

Jana usiku bana tulitofautiana kauli kidogo na mwenzangu, me nikaudhika nikadhira na kula msosi wake aliopika.

Nilidhira makusudi ili labda anibembeleze lakini wapi ndio kwanza mwenzangu akawa anachat na ndugu zake huko watsap wanapeana umbea wa huko kwao wanacheka, asubuhi nimeamka na ubao wa kufa mtu nikijua atanibembeleza ila hakufanya hivyo, nikaona nisije kufa kwa nenge kizembe nikaenda kwa mchepuko wangu mmoja hivi mama ntilie.

Amenihudumia vizuri hadi raha, mpaka sasa bado niko kwake, wife the only thing kaniuliza this evening ni kuwa utakula au hutokula ili nisijisumbue kukupikia chakula kikaharibika kama jana?

Bado niko kwa mchepuko till now nawaza whether nirudi home or not.

Asee wanawake wasomi ni pasua kichwa sana,siwashauri Muwaoe kabisa.

Asante.
We kula Kwa mchepuko shushia nyagi/pombe kali hafu ukirudi home mida mibaya unaomba game la kibabe hadi akushangae
 
Ukioa msomi hakikisha unamchepuko anayekupenda sanaaaa

Hawana thamani hao na hawajui kutimiza majukumu yao ya kijinsia huyo mkeo ndo alipaswa kuwa mchepuko wako na huyo mchepuko ndo alipaswa kuwa mkeo

Msomi akiwa mchepuko ht kulogwa ni kazi ila huwezi kuweka msomi wa kiwango hiko ndani utakuwa kichaaa wewe maana hao kwanzA wasafi nje ila ndani wachafu maana hawapendi kaZi,hawajui kupika wengi wao zaidi ya kujaza mafuta kwenye chakula, kibri, wengi wao ht mileage zinasoma sana maana wametumika sehemu mbalimbali nakuachika,hwn sociAl skills anaweza kukutia aibu ht ukiendanae msibAni,hawajui maisha wanawaza mawigi tu

Kwanini tusiwafanye michepuko sababu akili zao zipo matakoni na kwenye mawigi kweli wengi wao ni wazuri kweli kweli
 
Mtazamo hasi

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂😂😂😂Pole jamani. Hilo jibu ningelia
Niliwahi muuliza mwanaume wangu kwann amecheat na baamedi na wadangaji akajibu hakuna tofauti ya wale na msomi mimi (yani K ni hiyo hiyo). Akili za wanaume namna wanavyotuwazia sisi wanawake no tofauti na sisi wanawake tunavyojilinganisha. Kifupi K yako ndo inapaswa ipande kiwango na sio vitabu.
Jibu lilinichosha sana
 
Kwema watu wa mapenzi?

Aisee, iko hivi kama hujaoa nakushauri usioe mwanamke msomi kabisa, mimi mshikaji wenu nimeoa mwanamke msomi tena wa kiwango cha masters tena ya Birmingham City University pale uingereza ila cha moto nakipata.

Jana usiku bana tulitofautiana kauli kidogo na mwenzangu, me nikaudhika nikadhira na kula msosi wake aliopika.

Nilidhira makusudi ili labda anibembeleze lakini wapi ndio kwanza mwenzangu akawa anachat na ndugu zake huko watsap wanapeana umbea wa huko kwao wanacheka, asubuhi nimeamka na ubao wa kufa mtu nikijua atanibembeleza ila hakufanya hivyo, nikaona nisije kufa kwa nenge kizembe nikaenda kwa mchepuko wangu mmoja hivi mama ntilie.

Amenihudumia vizuri hadi raha, mpaka sasa bado niko kwake, wife the only thing kaniuliza this evening ni kuwa utakula au hutokula ili nisijisumbue kukupikia chakula kikaharibika kama jana?

Bado niko kwa mchepuko till now nawaza whether nirudi home or not.

Asee wanawake wasomi ni pasua kichwa sana,siwashauri Muwaoe kabisa.

Asante.
Mwambie asihangaike kupika hutorudi
 
Mwanamme ndio wakumbebeleza mwanamke.

Tena huyo msomi wako si wa pwani huyo, angekuwa wa pwani ndio kwanza angekoleza mkaa akifukiza maudi na ma liwa kichwani, kimyaaa kitandani. Na hiyo kukuuliza utakulahuli asingekuuliza, ungekuta sahani na vyombo vina mabaki ya chakula unachokipenda, kimeshaliwa. Mwenyewe ungeomba msamaha.
Unaonekana ww nimkorofi sana!
badala ya kushauri usuluhishi ww ndio unachochea!
huoni kwamba huyo mwanamke ni potential single mother
 
Kwema watu wa mapenzi?

Aisee, iko hivi kama hujaoa nakushauri usioe mwanamke msomi kabisa, mimi mshikaji wenu nimeoa mwanamke msomi tena wa kiwango cha masters tena ya Birmingham City University pale uingereza ila cha moto nakipata.

Jana usiku bana tulitofautiana kauli kidogo na mwenzangu, me nikaudhika nikadhira na kula msosi wake aliopika.

Nilidhira makusudi ili labda anibembeleze lakini wapi ndio kwanza mwenzangu akawa anachat na ndugu zake huko watsap wanapeana umbea wa huko kwao wanacheka, asubuhi nimeamka na ubao wa kufa mtu nikijua atanibembeleza ila hakufanya hivyo, nikaona nisije kufa kwa nenge kizembe nikaenda kwa mchepuko wangu mmoja hivi mama ntilie.

Amenihudumia vizuri hadi raha, mpaka sasa bado niko kwake, wife the only thing kaniuliza this evening ni kuwa utakula au hutokula ili nisijisumbue kukupikia chakula kikaharibika kama jana?

Bado niko kwa mchepuko till now nawaza whether nirudi home or not.

Asee wanawake wasomi ni pasua kichwa sana,siwashauri Muwaoe kabisa.

Asante.
yaani nimecheka
Kuna rfk angu anateseka na wala hajaoa msomi!
Hapikiwi ,hafuliwi,habembelezwi,kazi yake ngumu, na hata tunda hapewi na mwanamke sio msomi kabisa mama wa nyumbani, utatuambia nn hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana anko.
Cathbert wa Kimara "SuCa" alioa mmama wa kihehe aliye soma uingereza,akaja kufanya kazi NHC,mmama akajichanga wakafungua hotel ikaitwa SUCA,mama uzungu ukawa mwingi,mume akamla ''ousigeli" na mimba juu...
Kesi ikaenda mahakamani,mbaba akajitetea alirogwa na ousigeli,ndoa ikavunjika. Kwa sasa mama yupo Malamba mawili anafuga kuku,ousigeli yupo kwenye ndoa.
Heeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi muuliza mwanaume wangu kwann amecheat na baamedi na wadangaji akajibu hakuna tofauti ya wale na msomi mimi (yani K ni hiyo hiyo). Akili za wanaume namna wanavyotuwazia sisi wanawake no tofauti na sisi wanawake tunavyojilinganisha. Kifupi K yako ndo inapaswa ipande kiwango na sio vitabu.
Jibu lilinichosha sana

Na mapenzi yakaendelea au sio..?
 
Kwema watu wa mapenzi?

Aisee, iko hivi kama hujaoa nakushauri usioe mwanamke msomi kabisa, mimi mshikaji wenu nimeoa mwanamke msomi tena wa kiwango cha masters tena ya Birmingham City University pale uingereza ila cha moto nakipata.

Jana usiku bana tulitofautiana kauli kidogo na mwenzangu, me nikaudhika nikadhira na kula msosi wake aliopika.

Nilidhira makusudi ili labda anibembeleze lakini wapi ndio kwanza mwenzangu akawa anachat na ndugu zake huko watsap wanapeana umbea wa huko kwao wanacheka, asubuhi nimeamka na ubao wa kufa mtu nikijua atanibembeleza ila hakufanya hivyo, nikaona nisije kufa kwa nenge kizembe nikaenda kwa mchepuko wangu mmoja hivi mama ntilie.

Amenihudumia vizuri hadi raha, mpaka sasa bado niko kwake, wife the only thing kaniuliza this evening ni kuwa utakula au hutokula ili nisijisumbue kukupikia chakula kikaharibika kama jana?

Bado niko kwa mchepuko till now nawaza whether nirudi home or not.

Asee wanawake wasomi ni pasua kichwa sana,siwashauri Muwaoe kabisa.

Asante.
Ana akili sana huyo dada mkioa mke asiiye na kazi anakutegemea kwa kila kitu mnamnyanyasa ,hapo ndiyo panawafaa, mwanaume mzima unasusaje? Ndiyo nyie unasusa misosi yote ,mwanaume mkomavu hasusi chochote .
 
Back
Top Bottom