Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

N
leo GBPUSD imelipa sana. naungana na mtoa mada chonde chonde msijiunge kwani ni lazima kila mmoja ajue hii kitu.?
Nakuunga mkono nami nimepata mgao
Screenshot_20171218-114611.png
 
Wewe jamaa nawe sometimes....sio poa hivyo. Kwanini unaanika picha za watu mitandaoni? Halafu watu wanajua upo kwa Obama kumbe sasa hivi uko vumbini hapa unapiga watu picha kisirisiri

Teh teh hakuna ajuaye nilipo aisee.

I’m stealth like a crocodile....usikute hata kwa Trump sijawahi kufika.
 
Ni kama Ontario na upuuzi wake....halafu kuna wehu wamejiunga nae...This is stupidity...Eti "Mfanyabiashara" bora Tanzania bwana "Ontario"....ujinga ujinga tu....
Wacha niendelee kupigwa na hawa Broker hakuna namna mimi binafsi nimeacha kazi zingine kuunga mkono juhudi za mabroker kutapeli watu.hakuna namna itakua ni mimi tu mabroker hawanitapeli sababu mpaka sasa nimetrade nimefanya kitu flan ameeezing.

Dada yangu,wewe ukiangalia upo kwenye top of the food chain....hii ni Ponzi au Pyramid Scheme,aliepo mbele kwenye chain hatakaa aone tatizo..shida ni pale collapse ya mfumo mzima inapoanguka kwa one day....

Ni proven Pyramid Scheme mkuu.....Ufanyabiashara ni kujenga vitu au huduma na kuuza kutatua matatizo,huo ndio ujasiriamali...hizi technique za Ontario si sawa....Hua wanaanza kwa kuuza "Lifestyle" ya utajiri,anajijengea kua ana persona ya maisha mazuri mno,kuwavutia....Wote mnaoingia mpo nyuma yake kwenye food chain..

Ndio maana ma-role models wa bwana Ontario ni matapeli wa kutupwa wa Forex South Africa akina Ref Wayne mwenye kampuni yake ya Africa Forex Institute na sasa hivi amekuja na utapeli mwingine wa Pipcoin.....Huyu jamaa ni tapeli la kutupwa kabisa huko SA,kaiba hela ya Forex mno kwa kutumia hiyo scheme na wanachouza ni muonekano wa maisha mazuri na magari ya maana na kujijengea u-celebrity ili apate followers..Ref Wayne has been debunked over and over again kwa scheme yake (check hapa: Ontario hua anaenda SA kujifunza huu ufala ndio maana amejenga something like celeb status ili wapuuzi wamfate.

Ref Wayne is fake and Ontario is even fakier.

Na baada ya hii Forex watakuja na Ponzi Scheme ya bitcoin kama huyo Ref Wayne na Pipcoin yake....Just wait,when this Forex hotair is well exposed,Ontario and his goons will come up with some crazy bitcoin schemes.
 
Jionee nguvu ya forex.
 
Back
Top Bottom