Ng'ombe fuso zimaKweli swahiba... tumepoteza sana muda. Imefika kipindi sasa nasi tuamke. Not tu zet ekstent
Watu wanapiga 40M kwa wiki... hizo ni ng'ombe ngapi?
Aisee...hii thread tamu sana!johnsonmgaya NADHANI WEWE NDO ONTARIO, NA NINA HAKIKA HUITUMII HYO FOREX ILA KUWAFUNDSHA WENGNE NA KUWATAPELI CENT ZAO NDOGO
Ha ha ha ha mimi nilichoka pale ambapo ONTARIO anasifia thread ya The bold sweet,sijui nini wakati tunategemea hio thread ituambie pro and cons za FX....huwezi kuisifia labda uwe unajua kitakachofuata.sasa inasemekana kuwa the bold demu wake anafanya kazi kwa ONTARIO TMT
halafu hapo hapo mnasubiri THE BOLD aje awaambie ukweli kuhusu Forex hahaaaa
MNA akili kweli au ndio mmerogwa yaani mtu awe Tayari kugombana na rafiki yake pia amuharibie mpenzi wake kazi kwaajili ya manufaa yenu aiseee kweli bongo vilaza wengi
Nitumie na mimi.Ninavyo nitakutumia ktk inbox yako nikipata utulivu jioni , pia nikisahau nikumbushe kwa private message
Sawa mkuu Pogba naona niache ku discuss hichi kitu, wacha nibaki na nnachokifaham na wewe baki na cha kwako... Najua nini nimekipata kwenye forex na sina haja ya kutumia nguvu nyingi kumuaminisha kila mtu...hahaha mkuu wewe bure kabisa hizi issue sio livel yako, embu kaakmy kama wenzako
Njooo na fact kama nilizokuja nazo mm watu watakuelewa kuliko kuongea utumbo hapa
hahaaa mimi nilikuwa nakuona tu siku ile unavyo comment sema kwanza nikakaa pembeni kufikirisha bongo vizuri
I agree with you kwa hapo.. FOREX is not a get rich quick scheme na kama kuna mtu anawaaminisha watu hivo basi ni makosa...Nimekosoa kwa fact mkuu
Embu jaribuni kuunda kamati kuupinga huu ukweli
Zipo nondo nyingi nimeziandaa, zinakuja yale madudu yanu ya kuwatoa watu kwenye magroup ya WhatsApp kisa kutolipa pesa ya Ada sija yasema bado.
hahaaaaaJionee nguvu ya forex.
Mkuu too much talking is harmful u justOk naona unahofia sana kupoteza. Mkiwa mna-promote hii biashara jitahidi kuelezea pia ni kiadi gani mnapoteza. Maelezo humu ni as if nyinyi wote huwa mnavuna tu, yaani ukifanya fx wewe unapata tu hii biashara gani? Btw nimeshaamua naanza hio training januari ili nikiacha hii biashara nijue nimeacha kitu nakifahamu sio kwa kusikia tu.
et kama unacheza gem gem gan LA baskeli unakua karuru au tbagSafi kabisa! Wale wenye maduka ya kuuza na kununua pesa ndio wanafanya kweli biashara ya forex, maana wanatoa huduma ya kukubadilishia pesa. Ila Forex ya kwenda Jangid kufanyiwa mentoriship ili ucheze na pc kama unacheza game ni kamari kama kamari nyingine.
Fudenge unamaanaisha niffah ama?Kumbe kiingilio laki mbili,,ndio maana fudenge kaajiriwa kapata na kashavu kidogo