witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,710
- 47,105
Huna lolote unapeleleza ki FBi tuMimi sina upande, niko hapa kujifunza ingawa wengi wananiona kama mwehu....najua ninachofanya.
Kuna watu mna akili mnoo
Huna lolote unapeleleza ki FBi tuMimi sina upande, niko hapa kujifunza ingawa wengi wananiona kama mwehu....najua ninachofanya.
Pesa anachukua mtu alie other side yako kama ulikua sell wa buy ndio anapata broker muaminifu ye yake ni comishen ila DD na makers wao ukiwa buy ye anatoa kopy ya sell kwa upande wakePesa anachukua Broker
Nakuunga mkono nami nimepata mgaoleo GBPUSD imelipa sana. naungana na mtoa mada chonde chonde msijiunge kwani ni lazima kila mmoja ajue hii kitu.?
Wewe dawa yako iko jikoni.Huna lolote unapeleleza ki FBi tu
Kuna watu mna akili mnoo
Tuwe tunastuana basi vibaya hivyo,,sie kualikana kwenye ubuyu tu...mpaka tarehe 1paap 2018 tutasikia mengi
We jamaa unajisikia kinouma... ila kwa upande wa pili nadhani bar maid unapita nao
Achana nao babe wanguAh mi wala sijisikii aisee. Niko mtu poa sana na mtu wa kawaida sana.
Wewe jamaa nawe sometimes....sio poa hivyo. Kwanini unaanika picha za watu mitandaoni? Halafu watu wanajua upo kwa Obama kumbe sasa hivi uko vumbini hapa unapiga watu picha kisirisiri
We jamaa ni kama kinyonga sidhani kama unakaa state kweli....Ah mi wala sijisikii aisee. Niko mtu poa sana na mtu wa kawaida sana.
Achana nao babe wangu
We jamaa ni kama kinyonga sidhani kama unakaa state kweli....
Wacha niendelee kupigwa na hawa Broker hakuna namna mimi binafsi nimeacha kazi zingine kuunga mkono juhudi za mabroker kutapeli watu.hakuna namna itakua ni mimi tu mabroker hawanitapeli sababu mpaka sasa nimetrade nimefanya kitu flan ameeezing.
Wacha niendelee kupigwa na hawa Broker hakuna namna mimi binafsi nimeacha kazi zingine kuunga mkono juhudi za mabroker kutapeli watu.hakuna namna itakua ni mimi tu mabroker hawanitapeli sababu mpaka sasa nimetrade nimefanya kitu flan ameeezing.
Haina nouma mkuu tuko pamoja....Ahahaaaaa yup hivyo ndivyo nipendavyo. Hakuna ajuaye zaidi ya mimi tu.
Kwani kua zuzu kisheria ni kosa Ndugu yangu..???
Ni kama Ontario na upuuzi wake....halafu kuna wehu wamejiunga nae...This is stupidity...Eti "Mfanyabiashara" bora Tanzania bwana "Ontario"....ujinga ujinga tu....
Dada yangu,wewe ukiangalia upo kwenye top of the food chain....hii ni Ponzi au Pyramid Scheme,aliepo mbele kwenye chain hatakaa aone tatizo..shida ni pale collapse ya mfumo mzima inapoanguka kwa one day....
Ni proven Pyramid Scheme mkuu.....Ufanyabiashara ni kujenga vitu au huduma na kuuza kutatua matatizo,huo ndio ujasiriamali...hizi technique za Ontario si sawa....Hua wanaanza kwa kuuza "Lifestyle" ya utajiri,anajijengea kua ana persona ya maisha mazuri mno,kuwavutia....Wote mnaoingia mpo nyuma yake kwenye food chain..
Ndio maana ma-role models wa bwana Ontario ni matapeli wa kutupwa wa Forex South Africa akina Ref Wayne mwenye kampuni yake ya Africa Forex Institute na sasa hivi amekuja na utapeli mwingine wa Pipcoin.....Huyu jamaa ni tapeli la kutupwa kabisa huko SA,kaiba hela ya Forex mno kwa kutumia hiyo scheme na wanachouza ni muonekano wa maisha mazuri na magari ya maana na kujijengea u-celebrity ili apate followers..Ref Wayne has been debunked over and over again kwa scheme yake (check hapa: Ontario hua anaenda SA kujifunza huu ufala ndio maana amejenga something like celeb status ili wapuuzi wamfate.
Ref Wayne is fake and Ontario is even fakier.
Na baada ya hii Forex watakuja na Ponzi Scheme ya bitcoin kama huyo Ref Wayne na Pipcoin yake....Just wait,when this Forex hotair is well exposed,Ontario and his goons will come up with some crazy bitcoin schemes.