Single mother wote nchi hii karibuni mkoa wa Mara,Ukuryani, kwa nini uteseke? Kwa nini ujione kama ulikosea hii dunia? Hakika hutojutia

Nyamesocho

JF-Expert Member
May 5, 2023
489
1,270
Slogani yetu sisi wakurya "Tunataka watu,na kitanda hakizai haramu "

Nashangaa mdada unateseka huko uliko kisa huna mume na huwezi kuolewa kisa una watoto wako uliozaa na mwanaume mwingine huku ukiwaza watoto wako wataishije mbeleni?

Sisi Ukuryani tunataka watu,njoo na wanao utaolewa na majina ya watoto wako yatabadilishwa yataiitiwa mwanaume aliyekuoa

Ukoo ,ndugu jamaa na marafiki na sheria za kimila,kiutamaduni na hata za kiserikali zitakutambua Kama mke wa jamaa na urithi utapewa na watoto wako watapewa urithi bila ubaguzi

Ukuryani mtoto wako anatreatiwa na jamaa aliyekuoa kama mwanae wa kuzaa pasu pasu mfano mahitaji ya shule,afya na kumiliki mali

Naona single mama wa Kenya wanatumia fursa hii kuliko watanzania

Enyi single mama wa mliopo Tanzania unasubiri nini,njoo mkoa wa Mara na watoto wako wote ,watapata baba na watafurahia maisha
 
Mmemaliza wa huko sasa mnaanza kuimport ili nao muwabadili shape, bakieni na haohao
 
Kweli waje tu wanaume wa huku kijijini hatuna mbambamba tunakutunza mpaka umsahau huyo Chali wako mliyekituna gym mpka mkazaa
 
Back
Top Bottom