Sheria ya kumhudumia Mwanamke ifutwe, kwa sasa Ajira zinatolewa kwa Wote bila upendeleo

Mwanaume kuanza kujilinganisha na mwanamke kwa hali yoyote ile ni uzwazwa.Mwanaume ndiye msingi wa maisha ya familia na jamii kwa ujumla,mwanaume ndiye mtawala wa vyote alivyovianzisha.Sasa mtawala gani unayeogopa kusimamia na kuhudumia vitu anavyovitawala.Mada kama hizi ndizo zinazotengeneza wanaume magoi goi,mario,chawa na wengine wanakua mashoga.Tulushaambiwa tutakula kwa jasho.tuwajibike kwenye nafasi yetu bila kutoa visingizio vitakavyotufanya tuonekane dhaifu.
Chief uko sahihi kwa asilimia huku kukwepa majukumu na kuona mwanamke anapendelewa nacho ni chanzo cha wanaume wasiojiamini dhaifu wakaamua kureft group na kuamua kwenda kwa wanaopendelewa.
Hivi 50 kwa 50 ni anguko baya mno kutokea duniani na cha ajabu utakuta na janaume linasimama nalo linapigania usawa alisahau kuwa yeye ni kiranja katika familia.
Madhara ya kuwapatia fursa zisizostahili hawa wanawake ndio haya leo tunayoendelea kuyaona....
-Ongezeko la masingle mama na watoto kukosa kuongozwa viranja wa familia...
-65 ya wanawake waliopo kwenye ajira wengi wao hawajaolewa na hawataki ndoa wakiamini hakuna wanachokosa siku akihitajia huduma ya kimaumbile atampigia amtakaye watamalizana imeisha.
-Wanaume kukimbia majukumu kutaongezeka kutokana na hizi sheria za mchongo tunazoishi nazo kwenye miongozo ya umoja wa mataifa ambayo ukikaa na kuzidadavua utajuwa kabisa mtungaji hakuwa na lengo jema na jamii za sisi wanadamu.
WANAUME TUTABAKI WANAUME TU HATA TUBAKI 15 DUNIA NZIMA.
N.B
NA MWANAUME KUTAKA HAKI SAWA NAO NI UWANAWAKE

Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
 
Si kweli hao wanawake 65% walio kwenye ajira kwamba hawataki ndoa, hujui tu wanavyoumia kwa ndani.

Wanawake wanahitaji zaidi ndoa kuliko wanaume.
 
Taarifa:

Sasa hivi familia nyingi zinahudumiwa na wanawake huku mchango wa baba ukiwa mdogo.

Wenye hela kwa sasa ni wanawake.

Kwa hiyo hata sheria isipobadilika, tayari utekelezaji ulishazoeleka
Tofautisha mwanamke kuwa na pesa na mwanamke 𝐤𝐮𝐡𝐮𝐝𝐮𝐦𝐢𝐚 familia. Acha kuishi kwenye dunia ya kufikirika
 
Si kweli hao wanawake 65% walio kwenye ajira kwamba hawataki ndoa, hujui tu wanavyoumia kwa ndani.

Wanawake wanahitaji zaidi ndoa kuliko wanaume.
Hapo mkuu ,wanawake wanataka hizo ndoa kwa support kama hizo za kuhudumiwa .

Wanawake ni wabinafsi mimi nimefanya nao kazi kweny taasisi zinazolipq vizuri....Yaani hata pesa mnapata sawa ila bado anataka zako.

Hii ni asili ni lazima wanaume watoe chochote kwa wake zao ili kulinda heshima yao... Mwanamke usipompa huduma sio wake kabisa.
 
Upo sahihi.

Kuna mdada kila nikiwa na nye.ge nikimwita anasema nimlipe,sawa nikawa nafanya hivo.

Siku moja yeye ndio ametingwa ananipigia aje , nikamwambia nae abebe pesa anilipe kama anavonifanyiaga...nilikua namtania ila nilitaka kuna ujumbe aupate.
 
Chief uko sahihi kwa asilimia huku kukwepa majukumu na kuona mwanamke anapendelewa nacho ni chanzo cha wanaume wasiojiamini dhaifu wakaamua kureft group na kuamua kwenda kwa wanaopendelewa.
Hivi 50 kwa 50 ni anguko baya mno kutokea duniani na cha ajabu utakuta na janaume linasimama nalo linapigania usawa alisahau kuwa yeye ni kiranja katika familia.
Madhara ya kuwapatia fursa zisizostahili hawa wanawake ndio haya leo tunayoendelea kuyaona....
-Ongezeko la masingle mama na watoto kukosa kuongozwa viranja wa familia...
-65 ya wanawake waliopo kwenye ajira wengi wao hawajaolewa na hawataki ndoa wakiamini hakuna wanachokosa siku akihitajia huduma ya kimaumbile atampigia amtakaye watamalizana imeisha.
-Wanaume kukimbia majukumu kutaongezeka kutokana na hizi sheria za mchongo tunazoishi nazo kwenye miongozo ya umoja wa mataifa ambayo ukikaa na kuzidadavua utajuwa kabisa mtungaji hakuwa na lengo jema na jamii za sisi wanadamu.
WANAUME TUTABAKI WANAUME TU HATA TUBAKI 15 DUNIA NZIMA.
N.B
NA MWANAUME KUTAKA HAKI SAWA NAO NI UWANAWAKE

Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app

Majukumu yanaletwa na sheria sijui kama unalijua hilo.
Msingi wa unachokizungumza unajua ni upi?
 
Upo sahihi.

Kuna mdada kila nikiwa na nye.ge nikimwita anasema nimlipe,sawa nikawa nafanya hivo.

Siku moja yeye ndio ametingwa ananipigia aje , nikamwambia nae abebe pesa anilipe kama anavonifanyiaga...nilikua namtania ila nilitaka kuna ujumbe aupate.

Ni kwa vile wanaume ni wajinga sana kuliko Wanawake ndio maana wanateswa pasipo wao kujijua.
Hata kauli ya mwanaume kuumbwa mateso ni kauli ya Watu malofa wenye upeo Mdogo
 
Hapo mkuu ,wanawake wanataka hizo ndoa kwa support kama hizo za kuhudumiwa .

Wanawake ni wabinafsi mimi nimefanya nao kazi kweny taasisi zinazolipq vizuri....Yaani hata pesa mnapata sawa ila bado anataka zako.

Hii ni asili ni lazima wanaume watoe chochote kwa wake zao ili kulinda heshima yao... Mwanamke usipompa huduma sio wake kabisa.

Ndio maana Vijana wanaowazalisha na kuwaacha kwa upande wangu ninawaona wapo sahihi.
Binafsi mimi siwezi kuishi na limwanamke libinafsi lazima tumwagane tuu.

Kuachana na watu Wabinafsi kwangu haihitaji kufikiri mara mbilimbili
 
SHERIA YA KUMHUDUMIA MWANAMKE IFUTWE, KWA SASA AJIRA ZINATOLEWA KWA WOTE BILA UPENDELEO.

Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Sheria ya Mwanaume kumhudumia Mwanamke ifutwe. Sheria ya mke kuchukua mkopo kwa Jina la mumewe nayo ifutwe. Ni sheria zilizopitwa na wakati na zisizoendana na ulimwengu wa sasa.

Ni sheria kandamizi, zinazomkandamiza Mwanaume.
Kwa zamani zilikuwa sheria nzuri lakini sio sasa. Zilikuwa nzuri kwa sababu Wanaume walipewa fursa zaidi kuliko wanawake.
Wanaume walipewa fursa ya kumiliki Mali huku wanawake walikatazwa.

Wanaume walipewa fursa ya kusoma na kutafuta elimu huku wanawake wakiachwa nyuma.
Wanaume walipewa fursa ya kutafuta kazi na kufanya shughuli za uzalishaji huku wanawake wakibaguliwa.

Ndio maana sheria ya kumhudumia Mwanamke ilikuwa ya maana na tunaweza kuiita sheria ya haki kama Watibeli tupendavyo Haki

Lakini siku hizi Kila mtu anahaki. Haki sawa baina ya jinsia zimeboreshwa na kulinganishwa.
Ikiwa ni hivyo basi na wajibu lazima uboreshwe.

Isiwe wajibu kwa mwanaume kumhudumia Mwanamke katika ulimwengu wa haki Sawa.

Vijana, sio wajibu wako kumhudumia Mwanamke katika ulimwengu huu wa haki sawa. Ndio maana dunia ya sasa imetoa usawa wa kifursa.

Mwanamke afanye kazi na wewe ufanye kazi. Wote mlete mezani. Hiyo ni Haki.

Mwanamke akifanya kazi alafu anataka kuhudumiwa tuu yaani hela yako anaikodolea macho fukuza. Usiwe mjinga. Huo ni ubinafsi.

Mwanamke ambaye atakuambia pesa ya Mwanamke hailiwi wakati unamuita sijui mpenzi, sijui mkeo, huyo ni tapeli, nyonyaji. Huyo hakufai. Piga chini wala usisite mara mbili mbili.

Ndoa za kitapeli, mahusiano ya kibeberu na kikoloni. Unakuta mwanaume mzima kumbe ni koloni la mtu. Unanyonywa kama mwendawazimu. Alafu miaka 45 hii hapa kisukari, presha, mara Stroke unaacha mke Watu tunapiga. Shauri yako. Usijesema sijakuambia.

Alafu kwa ujinga wenu mnauliza maswali ya kijinga, ooh! Mbona wanaume wanawajibika kufa mapema kabla ya Wake zao. Hivi utaachaje kufa mapema ikiwa wewe umegeuzwa kisukule, kuzuka. Mbona kwetu Babu zetu wamepiga age ya kutosha. Tumieni akili. Jinga kabisa.

Usiendekeza ujinga. Mimi nimemaliza. Mwenye hasira za karibu aje tupigane.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Futeni sheria zenu huko za kibinadam.

Sisi Waislam sheria zetu zipo wazi.

Mwanamke kuhudumiwa ni nature, siyo sheria au kanuni ya kibinadam.

Basi hata ishara za asili (natural) zinazowazunguka hamzioni?
 
Futeni sheria zenu huko za kibinadam.

Sisi Waislam sheria zetu zipo wazi.

Mwanamke kuhudumiwa ni nature, siyo sheria au kanuni ya kibinadam.

Basi hata ishara za asili (natural) zinazowazunguka hamzioni?
MATUKIO 12 MUHAMMAD ALIJITENGENEZEA WAHI.

¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬

1. Alipomtaka mke wa mwanawe wa kulea(zayd), alitengenezea aya ya kuunga mkono. [ sura ya 33:37 . Al Tabari VIII, ukurasa wa 2-3]

2. Alipotaka wake zaidi ya wanne, alijitengenea Aya ya kuunga mkono. Sura 33:50

3. Aliposhikwa kitandani na mjakazi wake,alijitengenezeaa aya ya kujitetea . Sura 66:1-5

4. Alipotaka kubadilisha Qiblah, alijitengenezea Aya ya kuunga mkono. Sura 2:144

5. Alipotaka kuwabaka wanawake mateka, alijitengenezeaa aya ya kuunga mkono. Sura 4:24

6. Aliposikia mtu anataka kumuoa Aisha baada ya kifo chake, alijitengenezea aya ilio pinga swala hilo Sura 33:53

7. Alipoulizwa kuhusu yeye kuwaruhusu wanawake kujitolea kwake, alijitengenezea Aya ya kuunga mkono. Sura 33:51

8. Hali yake ya afya ya akili ilipoulizwa, alijitengenezea aya ya utetezi wake. Sura 7:184

9. Alipotaka watu watoke nyumbani kwake mapema baada ya kula, alijitengenezea aya ya kuunga mkono. Sura 33:53

10. Alipotaka kuoa wanawake bila ya kutoa mahari, alijitengenezea Aya ya kuunga mkono. Sura 33:50

11. Alipotaka kuoa wake wa Watoto wa mama zake wakubwa alijitengenezea aya kuunga mkono sura 33:51

12. Alipotaka kuoa watoto wa shangazi zake aliatengeneza aya kuunga mkono 33:51

¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬

NAENDELEA KUTOA ANGALIZO KUWA MUHAMADI SIO MFANO MZURI WA KUIGWA DUNIANI UKITAKA UONEKANE KITUKO FANYA MAMBO MOJAWAPO HAPO JUU UONE DUNIA ITAKAVYO KUCHEKA...
 
Futeni sheria zenu huko za kibinadam.

Sisi Waislam sheria zetu zipo wazi.

Mwanamke kuhudumiwa ni nature, siyo sheria au kanuni ya kibinadam.

Basi hata ishara za asili (natural) zinazowazunguka hamzioni?

Sheria za kiislamu zipo sawa.
Hizi sheria za siku hizi ambazo wameziboresha na kusahau kuboresha wajibu na majukumu ndio zinaleta utata na utapeli Mkubwa.

Angalia nchi za Saudia Arabia, Qatar, Oman n.k. Sheria zao zimenyooka na ndio maana ni ngumu kusikia Masuala sijui ya ukosefu wa ajira.

Ukishasema haki sawa tayari umezungumzia Wajibu Sawa.
Lakini kwenye ulimwengu wa kishetani, mashetani hudai haki sawa lakini hayataki Wajibu sawa
 
Back
Top Bottom