housegirl
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 3,125
- 2,190
ukiwa na mtu amabaye mnakuwa actively mnashiriki nae sex jua fika mtashare mambo mengi katika ulimengu wa hisia na kiroho pia hata kama mtakuwa hampo karibu kwa wakati huo. Hii ni kwa sababu SEX ni ibada kamili kabisa, sex ni mkataba ambao miongoni mwa makubaliano ya huo mkataba ni kuwa connected. Hii ndio maana inakuwia ngumu kumsahau na kumtoa akilini mtu ambaye mlikuwa nae active kwenye sex hata kama ilikuwa zamani na mna muda hamjaonana, bado ataendelea kuwa kwenye mind yako.
MIMI naona ni mawazo ya kibikra haya. au mawazo ya mtu mwenye ukame. kabla mtu hajaingia kwenye ulimwengu huu analishwaga maneno ya namna hii.
pia, sababu ya wewe kutomsahau uliyefanya naye si kigezo cha kuita sex "mkataba".
mimi nakumbuka vizuri walimu waliokuwa wananidunda nikiwa shule. na nimepita shule nyiingi!! je, kupigwa kwangu ilikuwa kitu kitakatifu? mkataba na walimu?
kuna watu huko duniani sex ni kama daladala. kila siku wanazipanda tena tofauti. Inafika point mtu ANASAHAU kuwa alilala na huyo dada aliyekutana naye Maisha na kufanya one night stand, hadi anamtongoza upya!!!!!!!!!!