20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 7,972
- 6,764
Habari zenu wanajamvi,
kama title ya topic ilivyo kuwa SEX IS A GATE WAY TO YOUR SOUL, kwamba tendo la ndoa (kwa wanandoa) / zinaa ( kwa wasio wanandoa) huweza kuwa njia huweza kuwa njia au mlango wa kuifikia roho yako kwa namna hama nyingine.
Watu wawili wakiwa wanashiriki sex huwa si tena wawili wanakuwa ungana na kuwa mwili mmoja kabisa, hii itawaunganisha kimwili,kiakili/kihisia na kiroho,hili jambo lina siri nzito sana, kwa wale wasoma biblia ukipita
WAEFESO5 ;31-32 inasema [SUP]31 [/SUP] Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye atashikamana na mke wake, na hao wawili watakuwa mwili mmoja. [SUP]32 [/SUP] Siri hii takatifu ni kubwa. Sasa ninasema kwa habari ya Kristo na kutaniko .
ukiwa na mtu amabaye mnakuwa actively mnashiriki nae sex jua fika mtashare mambo mengi katika ulimengu wa hisia na kiroho pia hata kama mtakuwa hampo karibu kwa wakati huo. Hii ni kwa sababu SEX ni ibada kamili kabisa, sex ni mkataba ambao miongoni mwa makubaliano ya huo mkataba ni kuwa connected. Hii ndio maana inakuwia ngumu kumsahau na kumtoa akilini mtu ambaye mlikuwa nae active kwenye sex hata kama ilikuwa zamani na mna muda hamjaonana, bado ataendelea kuwa kwenye mind yako.
Nguvu yeyote ya kihisia na kiroho ikiweza kumpata mmoja wenu kutokana na sababu mbalimbali hiwe kutakuwa na maamuz sahihi, kusababbishwa na mwigine inapata upenyo na mwanya wa kuweza kumpata mwenza wake maana ameacha njia ya upenyo na wao wanamkataba wa kuwa mwili mmoja. So kuna wakati badala ya kuhangaika na matatizo yanayo kufika hiwe ni mawazo yasiyoisha, mikosi n.k anza kuhangaika kuondoa ties ulizo funga na wenza wako ni lazima kutakuwa kuna hole imetengenezwa na mmoja kati ya hao uliowahi shiriki nao, bila kuondoa hizo ties utakuwa kila siku unasolve na kutafuta njia za kuwa katika hali but vitu havikomi maana still vinapata njia ya kuja kwako, vunja tie hizo kwanza.
SEX haifanyiw nje ya mwili hufanywa ndani ya mwili, katika kuthibitisha hili ukisoma 1WAKORINTO6;18 inaonyesha kuwa sex hufanywa ndani ya mwili so ina direct impact katika roho yako.
Kumbuka roho na mwili haviwezi tengana hadi kifo kikufike, so connection ambayo umeziweka na uliesex nao huweza kuondoka pale mmoja wenu atakapo fariki, otherwise vunja ties na connection zenu
Kuna watu hujikuta wanatramani kusex au kuwangalia na wanaume wenzao, hata inafikia kiwango mtu kuota ana msodoma mwanaume mwenzie, ukiangalia wew si GAY bt ukicheza utajikuta unafanya kweli , QN,HOW? Kuna reason nyingi zinapeleka watu kutaman mapenzi ya jinsi moja ikiwemo roho za ajabu, sasa kama kuna vibinti ambacho umewahi kushiriki nae amaenza kufanya au kutaman hayo mambo ile roho inayompelekea kufanya hayo inapata na inatafuta upenyo kwako piaa maana kupitia huyo kuna njiaa ya kuja kwako.
NI HAYO NILIYOTAKA KUSHARE NANYI KWA SIKU YA LEO, NAKARIBISHA MICHANGO NA HATA KUREKEBISHWA