Rostam! - Tafadhali Bwana

If Being a success is al what it takes. This guy is rich, handsome, top on every front page, influenc... Etc.
 
Kuachia ngazi kwake iwe ni fundisho kwa wanasiasa wengine
, hususani wa upande wa chama tawala. Hali hii pia iwe ni changamoto katika anga ya kisiasa inayoonesha mfano kuwa chama kimoja kikikaa madarakani muda mrefu huota mapembe na kujigamba hakuna kitu kingine kinaweza kutokea cha kupingana na hali iliyozoweleka.
 
Katika historia ya Tanzania haijatokea kiongozi aliyekumbatia mafisadi kama inavyoonekana hivi sasa. Kulea mala rushwa nchini ni dalili ya kutoweka uzalendo. Hali hii inatia shaka kama wimbo wa kumuenzi Hayati Nyerere unaimbwa kwa moyo au maneno ya mdomo tu. Hali hii pia inaleta dhana ya wajinga ndio waliwao. Ni hatari inayonyemelea taifa letu kwani kutakuja wakati wananchi watajiuliza ya nini malumbano? Wakaamua kutojihusisha kabisa na kuchagua watu wasio na dhana ya kizalendo.
 
umbumbumbu wa watanzania wengi ni janga kwa taifa letu, kufikia hatua ya kumpongeza fisadi mkuu wa nchi!!! tunahitaji msaada mkubwa wa kifikra!
 
Currently we are reading from local and international media about uprights from the people in Libya and prior to that we had similar news from Algeria, Misri, Ivory Coast, not forgetting what going on in Syria in Middle East. It indicates that people can choose a leader on their will but same people can revoke decision just to look for better leadership for naational development and future prosperity.

If current leadership of CCM is no longer interested to listen to people, then these people will reject them all at any cost. Gaddafi is in trouble today. Hosn Mubarak is on trial today. Assaad of Syria is struggling to his survival. We do not want to happen in our country, let the bad leaders quit on their own will before we push them out of office.
 
Laiti Mwanasiasa makini wangejua agenda hii na kutoa pressure kubwa kwa suala ambalo Babu yangu wanakijiji amesema ni muhimu kujenga utamaduni kama huu na kusaidia Taifa la Tanzania kwa ajili ya kulinda rasimali za watu kama hivi unavyofanya Mzee mwanakijiji, Kweli hongera sana kwa kazi nzuri
 
Ndugu Mwanakijiji, Nakupongeza kwa maoni na uchambuzi wako juu ya hutuba ya Jamaa yatu RA aliyoitoa kwa wazee wa Igunga wakati akijivua gamba.Ni ukweli usiopingika kuwa huyu jamaa si mwenzetu na si mzalendo,nakuunga mkono kwa hilo.Na pia ningependa kuona wananchi wanachukua hatua zaidi ya kuwakamata,kuwafilisi na kuwanyonga mafisadi wote na jamaa zao.Wachina wanaweza kwa nini sisi tushindwe.
 
rostam kafukuzwa nchini. alipewa masaa 24 awe ameondoka nchini kwa sababu viongozi wengine walikuwa hawasikilizwi alikuwa anasikilizwa yeye tu, watu wakaona isiwe tabu . ndio maana hata leo akija hatakaa zaidi ya wiki lazima aondoke na akitua tu airport taarifa zimeshaenea . Tangu aondoke rostam nchi imetulia
 
Makala imeshiba....ni nadra sana kukuta makala za namna hii nowadays humu JF
 
umbumbumbu wa watanzania wengi ni janga kwa taifa letu, kufikia hatua ya kumpongeza fisadi mkuu wa nchi!!! tunahitaji msaada mkubwa wa kifikra!


Acha tu pacha wake fisadi ndio tuliletewa na chadema eti ndio awe Rais wetu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom