Rostam! - Tafadhali Bwana

Unayosema wewe ni kufikirika mimi naongelea analysis za theory ilio maarufu sana, sina haja ya kukuambia ni ipi, fanya homework yako. Sina haja ya ku assume kama utakavyo kwani hiyo itakuwa ni assumption. Mwambie aweke picha yake aliosimama na mtu mwingine yeyote halafu tuithibishe niliyoyasema, simjui hanijui lakini maandiko yake nimeyachambua na kufikia conclusion kuwa huyu ni mtu mfupi sana na anasura mbaya sana kwa hiyo watu wote warefu na wenye sura za kuvutia kama Rostam, Kikwete, kwake huwa ni maadui wa kufikirika na isitoshe wakiwa na mafanikio.


Hapo kwenye red, wewe ni jinsia gani? Na je umefaidika na nini kwa Rostam?
 
nimechukia sana kwa jairo kusimamishwa kazi badala ya kufukuzwa eti kupisha uchunguzi
 
Umenena vyema mwanakijiji- Tafsiri ya kujivua gamba imeshakuwa hivi; wale wenye kashfa hasa za wizi kukimbia mkono wa sheria. Ni namna ya kuhalalisha ufisadi wa zamani kwa tendo moja tu la kuachia ngazi. Ni namna hatari kuliko kubaki kwenye wadhifa walionao. Ni namna inayologa akili za watz kufikiri kuwa ni "uadilifu".

Kwangu miye tafsiri ya kujivua gamba ingeendana na taratibu za kisheria kama ulivyoainisha hapo juu. Tafsiri ya kurudishia watanzania matumaini kwa kurudisha hata mali walizoibiwa.
 
yap, tatizo ni system nzima. Hapa ni zamu ya JK kujiuzulu na sio
wengine. maana analea matatizo.
 
kutatua matatizo yanayolikabili taifa nikutoa system nzima maana yote imajaa ulevi sio wapombe bali ni wamadaraka nakujisahau kuajibika
 
Mhh...unaonesha upo so obsessed na vimo na rangi na sura za watu...ironically wanaume. Saikolojia inaniambia mengi sana kuhusu wewe. Sitaki kusema..
Atakuwa demu,mwanaume gani anayeshupalia upupu kama huo,eti mfupi.Who cares?Mbona Ben Mkapa,Ali Mwinyi nk ni wafupi?Kama ingekuwa kigezo hata Bush asingekuwa rais wa USA.Huyu mtu anamchukia MKJJ haswa.Inaelekea harakati zake zimewagusa penyewe.
BTW i used to like Prison Break.Hiyo avatar yako if you know what i mean.
 
Kitu pekee ambacho naweza kumpongeza na kumshukuru Rostam kwa uamuzi wake wa kujiuzulu ni kuwa angalau sasa tumebakiwa na mtu mmoja Bungeni ambaye ana nguvu kuliko mwanasiasa mwingine yeyote nchini na ambaye natumaini naye atafuata mkumbo wa kuachia ngazi na huyo atafanya kweli kwa maslahi ya Taifa. Hapana, siyo Lowassa.

Natamani kumjua mtu huyu....!
 
Kilichonifurahisha kuliko yote ni pale alipohitimisha kwa kejeli kwamba CCM itaendelea kuwa na mbunge Igunga, lakini ukisoma ile paragraph he meant bila yeye CCM waisahau Igunga. Anywayz this guy wil remain in our history for a very long time. Vizazi vijavyo watatushangaa, watatulaani, watatucheka, watatusikitikia whenever a story of this guy will come up. And make no mistake this guy will also inspire some other people and especially those who believe money is everything!!!
 
Unayosema wewe ni kufikirika mimi naongelea analysis za theory ilio maarufu sana, sina haja ya kukuambia ni ipi, fanya homework yako. Sina haja ya ku assume kama utakavyo kwani hiyo itakuwa ni assumption. Mwambie aweke picha yake aliosimama na mtu mwingine yeyote halafu tuithibishe niliyoyasema, simjui hanijui lakini maandiko yake nimeyachambua na kufikia conclusion kuwa huyu ni mtu mfupi sana na anasura mbaya sana kwa hiyo watu wote warefu na wenye sura za kuvutia kama Rostam, Kikwete, kwake huwa ni maadui wa kufikirika na isitoshe wakiwa na mafanikio.

Hapo kwenye red: Sasa kama Rostam Azizi ni mrefu na ana sura nzuri vitu ambavyo kwako wewe ni vigezo muhimu kwa mtu wa mafanikio (uongoze bora maybe?) sasa kwa nini mnafukuzana na kupeana majina magamba?
 
Nadhani wanaoshukuru kujiuzulu kwa Rostamu ubunge mantiki yao ni kuwa ilikuwa hatari sana kwa maslahi ya taifa kuendelea kuwa na mtu kama Rostam kwenye chombo muhimu kitaifa kama bunge. Katika hilo haijalishi amejiuzulu kwa nia njema au kwa maslahi binafsi lakini kuona jamaa aisye na huruma lakini mwenye uchu na fedha kama yule akiwa bado tu na mamlaka ya kuinfluence sheria za nchi, huku akiwa na access na viongozi wakuu wa kiserikali yaani tunakosa amani.

Mkuunakubaliana na wewe kabisa, naona hii ni geresha tu. Sababu ya RA kuwa kwenye nafasi hizi haikuwa kuchuma pesa kama wabunge, Mtu akiwa mwizi anatakiwa kufikishwa na mahakamani na kufungwa, sio kutangaza kujikuzulu na kukimbilia ulaya. Kumwacha mtu akimbie na remote control hakuna maslahi yoyote kwa taifa. Naamini kuwa RA ni smart politician ameiweka nchi mkononi, na kuamua kuachia ubunge hakuna maana kuwa ame-give up smartness ya kuinyioya Tanzania, bado ana influence na bado ana network.
 
Ana uhuru wa kufanya chochote bila watu kumsema kala pesa bomu za wabunge.

I hope ameendeleza jimbo lake vizuri jamani
 
Mwanakijiji ana usongo na RA, kwa mafanikio yake. Yeye masikini ya mungu kashindwa, roho ya uchawi na chuki zilizowazi ndio zinampelekea kusema hovyo.

Sijui alimyima kazi?
 
Mimi RA nina hasira sana, hawa jamaa wamemwaga mboga yangu sasa ugali ntakula na nini? sasa natamka bayana yafuatayo;
1. Ninaimarisha kitengo changu cha IT ili kazi zote nizifanye nikiwa huku ughaibuni
2. Hata mkija mnapiga magoti nawaambia Igunga Nitaenda tarehe 5/10/2011 na si kabla ya hapo.
3. Sitaongea na wazee wangu wa HHiigunga wamuunge mkono yeyote.
4. Zile bima na miradi mingine niliyoweka kule HHigunga najitoa.
5. Chadema sijawaona mpaka sasa, wanatakiwa waje tukae kama kamati ili wachukue na wanihakikishie hawatatamka neno ufisadi katika kipindi chote cha campaign.
6. Eti wameambiwa wanajua pa kunipata, ha ha ha, hawajui ninapatikana wapi, na simu zangu zote nazima mpaka tar 5 october wakati nataka nijue matokea kwa bwana Kifaru no kivaru ah kumbe ni bwana KIVALeur cha pakti.
Dreaming? no just tuned
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom