Rais Samia: Msije kushangaa mwaka 2030 tukawa na CDF Mwanamke

Rais Samia amesema amefurahi kuona kikosi cha Bendera katika gwaride la Muungano kikiwa na askari wa kike

Rais Samia amesema huo ni Mwanzo na msije shangaa 2030 tukawa na CDF Mwanamke

Source: TBC
Sijawah kusikia mwanajeshi mwanamke kauwawa vitani,

Wote ambao nawaona na kuwasikia ni wanaume tu

Hivi wanawake huwa hawaendagi huko kupigana ??
 
Rais Samia amesema amefurahi kuona kikosi cha Bendera katika gwaride la Muungano kikiwa na askari wa kike

Rais Samia amesema huo ni Mwanzo na msije shangaa 2030 tukawa na CDF Mwanamke

Source: TBC
Hiyo nafasi siyo ya maonyesho ya mopitindo msije kutuharibia nchi
 
Rais Samia amesema amefurahi kuona kikosi cha Bendera katika gwaride la Muungano kikiwa na askari wa kike

Rais Samia amesema huo ni Mwanzo na msije shangaa 2030 tukawa na CDF Mwanamke

Source: TBC
Naona sasa akina mama wanataka kuvuka mstari. Kinachoonekana kutafutwa kwa sasa ni wao kutaka kukaa juu ya wanaume na kuwatawala.

Nathubutu kusema siasa za upendeleo zinazoendekeza mambo ya kike kike zipo katika maeneo ya nchi za maziwa makuu peke yake. Imefikia vijana wa kiume wa Kitanzania wanakosa fursa muhimu za maendeleo kama vile ajira, na elimu kwa gharama ya upendeleo uliopitiliza kwa watoto wa kike.

Mimi kwa upande wangu nimekwisha waasa watoto wangu wafanye kila wawezalo watafute fursa za maisha nje ya ukanda huu, na pia kamwe wasithubutu kuoa mabinti kutoka nchi yetu wala nchi za ukanda huu, pengine kama wakikosa sana waende kuoa Rwanda. Kwa maana huko tunapoelekea tutakuwa na taifa duni sana lililojaa wanaume machawa na wanawake watawala katika kila nyanja ya maisha.

Maandiko matakatifu ninayo yatambua mimi, hayampi ruhusa mwanamke kuwa mtawala juu ya mwanaume, bali kinyume chake! Sisi ni nani tunapindua mamlaka ya mbingu katika takwa hili la kudumu!

Viumbe vyote ulimwenguni vyenye jinsi ya kiume vimepewa mamlaka hii ya asili ya ulinzi na utawala. Wanaume wengi wanazidi kudidimia.

Compromising with feminism movements, lobbying and advocacy, is nothing but all about the mere dreaming about petting a dog.
 
Huyu mama sio kabisa, kakosea sana kuzungumza hivi. CDF Mwanamke HAPANA
Umewahi kumsikia Rear Admiral mjamaica ambae ndio mkuu wa majeshi ya Jamaica? Na ndio mwanamke wa kwanza duniani kushika wadhifa huo?
Screenshot_20240426_144241_Chrome~2.png
 
Back
Top Bottom