Rais Samia: Msije kushangaa mwaka 2030 tukawa na CDF Mwanamke

Rais Samia amesema amefurahi kuona kikosi cha Bendera katika gwaride la Muungano kikiwa na askari wa kike

Rais Samia amesema huo ni Mwanzo na msije shangaa 2030 tukawa na CDF Mwanamke

Source: TBC
Kwanini tushangae kama anaweza who cares..., ila sio kulazimisha sababu hayupo na hajawahi kuwepo basi awepo.....

Haya mambo ya kuangalia mbele wakati ya hapa yanatushinda ndio maana tunajikwaa kila siku wakati tunaangalia nyuma na kuwatupia lawama wa huko nyuma....

Busy keeping up Appearances....
 
Rais Samia amesema amefurahi kuona kikosi cha Bendera katika gwaride la Muungano kikiwa na askari wa kike

Rais Samia amesema huo ni Mwanzo na msije shangaa 2030 tukawa na CDF Mwanamke

Source: TBC
Jeshi lilishasema kwamba wao wana Askari tu, hawana mambo ya Mwanamke au Mwanaume na ndiyo maana Jeshi hilohilo likasema cheo cha ‘Amiri’ hakitabadilika sababu ya Junsia bali kitabaki vivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom