Rai: Bangi na gongo vihalalishwe

View attachment 400560Ifike mahali tuachane na unafiki! Hivi vitu ni chanzo kimoja kizuri sana cha mapato kama kikiwekewa utaratibu maalum na kuongezewa thamani yake kwa kufanya mchujo wa kitaalam na ufungaji pia
Hivi ni vyanzo vinavyotoa ajira kwa maelfu ya vijana...ni vyanzo ambavyo wengi wanaendeshea maisha yao ikiwemo kusomesha matibabu na hata ujenzi...lakini kile ambacho kingepaswa kuingia serikalini kinachukuliwa na wachache wanausalama wetu hasa jeshi la polisi View attachment 400561
Kesi za bangi na gongo ni nyingi sana huko vituo vya polisi na mahakamani, hawa wanaokamatwa wangetengenezewa utaratibu maalum TANZANIA ya viwanda ingeanzia hapaView attachment 400562
Kwenye hii operation ya kukamatwa hii mitambo askari kibao nao walikamatwa
Naunga mkono
 
Madhar ya bangi km mnayajua sidhni km ni sahii kuruhusu..kun jamaa ang anavuta ila nikimpa challenge kidg naona anapwaya pia anasahau sahau...faid ninay ona lbd ujasiri na kujiamini.
 
Kizazi kipya

Ukitaka kujua tabia,na maendeleo ya jamii husika jaribu kuangalia na kuchunguza vijana wa hiyo jamii wanawaza na kufikiri nn .

Wkt vijana wakichina ,Hindi ,marekani. Israel wanawaza namna ya kutengeneza apps ,na vingine vingi ,huku kijana wakiTanzania anawaza no VP gongo na bangi ihalalishwe sabb ya kodi

Kodi ina faida gn kama vijana wanakaa vijiweni na kuvuta bangi nenda kigogo uone watt wadogo walivyochafuka kwa kuvuta bangi ,panya road. ,nguvu kz zinapotea nyng kwa. Unywaji wa gongo
 
Kwa serekali hii, hili jambo likipata msukumo mkubwa linaeza pita bungeni" mi sioni sababu ya kuendelea kukataza na huku watu wanaendelea kutumia! Biashara ya mirungi ni hela nyingi sana serekali inapoteza, ukizingatia jirani zetu wanapiga hela ndefu kila siku huku sie tunatumia na tunaendelea kusema ni haramu!
 
kwa kweli wasomi,viongozi wengi wamefika hapo walipo kwa wazazi kukomaa kwa kila hali kuhakikisha wanasomesha watoto wao.gongo na pombe Kali za viwandani, aka viloba vilivyozagaa kila kona ya nchi havina tofauti, na hivi viroba, pure spirit, vina kilevi zaidi ya gongo. bangi ni mmea wenye historia ndefu pia,kuna baadhi ya makabila hutumia mmea huu kama tiba n.k.lkn kuwainua wakulima wetu,liwe zao mbadala. ili kuwaongezea wakulima kipato, hasa ukizingatia kuwa bei ya mazao mengi siyo rafiki kwa mkulima. tumeshuhudia nyanya na mazao mengine ya mboga mboga yamekosa soko na kusababisha kilio kwa wakulima
 
Kizazi kipya

Ukitaka kujua tabia,na maendeleo ya jamii husika jaribu kuangalia na kuchunguza vijana wa hiyo jamii wanawaza na kufikiri nn .

Wkt vijana wakichina ,Hindi ,marekani. Israel wanawaza namna ya kutengeneza apps ,na vingine vingi ,huku kijana wakiTanzania anawaza no VP gongo na bangi ihalalishwe sabb ya kodi

Kodi ina faida gn kama vijana wanakaa vijiweni na kuvuta bangi nenda kigogo uone watt wadogo walivyochafuka kwa kuvuta bangi ,panya road. ,nguvu kz zinapotea nyng kwa. Unywaji wa gongo

Si wanasemaga yule mzee wa tume ya katiba mpya nae anakunyaga gongo! Halafu kimfano hapa udom na vyuo vingine mbona bange zinauzwa sana? Unafikiri wanauziwa akinanani! Amini hata viongozi tulionao ni kutoka jamii hii hii, ambao ni wavuta bangi wanakula miraa na hata gongo wanakunywa! Kwani kukataza gongo ndo kunafanya watu wasinywe!? Au kukataza bangi ndo watu havuti!? Hujaona watu walivoathirika na unywaji bia? Wapo waathirika kibao wa viroba na sigara! Kwa nn serekali inaruhusu au haioni? Vilevi vyote mlevi akizidisha vina madhara serekali itoe elimu na ikusanye kodi" watuache tutumie vitu vyetu!
 
Ifike mahali tuachane na unafiki! Hivi vitu ni chanzo kimoja kizuri sana cha mapato

Faida upande mmoja. ila wa pili maafa, Wabongo tunavyopenda kufuata vitu kwa mkumbo tutajikuta wote tunafanya biashara hii na Tutaishia kilio kama wauza nyanya.
 
Kizazi kipya

Ukitaka kujua tabia,na maendeleo ya jamii husika jaribu kuangalia na kuchunguza vijana wa hiyo jamii wanawaza na kufikiri nn .

Wkt vijana wakichina ,Hindi ,marekani. Israel wanawaza namna ya kutengeneza apps ,na vingine vingi ,huku kijana wakiTanzania anawaza no VP gongo na bangi ihalalishwe sabb ya kodi

Kodi ina faida gn kama vijana wanakaa vijiweni na kuvuta bangi nenda kigogo uone watt wadogo walivyochafuka kwa kuvuta bangi ,panya road. ,nguvu kz zinapotea nyng kwa. Unywaji wa gongo
Umesoma kwa makini lakini nilichoandika?
 
Faida upande mmoja. ila wa pili maafa, Wabongo tunavyopenda kufuata vitu kwa mkumbo tutajikuta wote tunafanya biashara hii na Tutaishia kilio kama wauza nyanya.
Ndio maana nikasema uwepo utaratibu maalum kwenye hili
 
Hata mimi nakubaliana na wewe, waruhusu pia Malaya kujiuza ili mradi wawekewe utaratibu wa kupimwa mara kwa mara na kulipa kodi, kwa hili nadhani tutapata uungwaji mkono wa baadhi ya wabunge wa ccm akiwemo msukuma
Mkuu hapo sasa na mapunga watadai haki yao
 
Back
Top Bottom