Rai: Bangi na gongo vihalalishwe

Mbunge Msukuma aliwahi zungumzia habari Hii Na waziri wa saund pia aliulizwa akasema watalishugulikia
 
mchana jr

Mkuu athari za kuruhusu hivi vitu ni kubwa sana hususani kwa taifa letu,
 
Nchi hii bangi inavutwa sana kuliko sigara ukifanya utafiti mdogo tu utathibitisha hili, inaweza kuchangia kodi kubwa kuliko tbl na tcc.
Kule Florida mwaka wa kwanza baada ya legalization ya ganja walikusanya kodi kupita malengo yao na yameendelea kupanda kila mwaka same to Uruguay!
 
Bangi ni tiba kama zilivyo tiba nyingine za mitishamba,matibabu yake yangewekwa wazi na wataalamu wa tiba.
Matumizi ya bange kwa uvutaji kama sigara yanaweza yakawa ni sababu mojawapo inayoficha matumizi mengine makubwa ya mmea huo.
Asilimia kubwa ya nguvukazi hasa katika uvuvi ,migodini, mashambani na kazi zozote ngumu,vijana wengi wanatumia bange.
Kuhalalisha matumizi ya bange si tu kunahitaji haraka, bali umakini mkubwa na pengine tuwahusishe viongozi wetu wa dini walau watoe ushauri wao.
Matumizi ya gongo kwa Tanzania sio kitu cha ajabu Sana kwani karibu vijiji vyote na maeneo ya watu wa hali ya chini mijini watu wanatumia gongo kama ambavyo tunavyowaona wenzetu wazungu wanavyotumia pombe kali, wine n.k
Kama formula ni ile ile inayotumika kutengeneza vileo vikali tofauti labda ni purification na kuondoka harufu kali,basi ufanyike utaratibu mahsusi wa kuwatambua watengenezaji wote ili wapewe elimu juu ya namna ya kuboresha kinywaji hicho ili kitumike kuinua uchumi wa familia zao na Taifa.
Yawezekana kabisa kuwa hizi pombe zinazotengenezwa kienyeji zikawa ni nzuri zaidi kiafya kuliko pombe zinazotambulika sokoni.
Kule Uganda kuna ile gongo yao inaitwa Uganda waragi, wanachofanya hii kampuni inakusanya gongo kutoka kwa hawa local brewers wanaenda kufanya purification then wanauza tena kwa wenye baa na virabu vya pombe, hii imesaidia gongo inakua na kiwango kinachotambulika ndomana huwezi kusikia Uganda kuna vifo vya pombe kama inavyotokea kwa chang'aa Kenya!
 
Angalia prons na cons mkuu, hata kama sisi tunatumia lakini legalizing it nikuandaa generation ambayo itakua na psychic problems na kudidimiza maendeleo ya nchi hii. Ni sawa na kusema tuhalalishe brothels unategemea nini? Vitu vingine kama unatumia basi tumia kimya kimya na wale mapusha/masadari kama wanamake money baas waache waendelee kumake money after all wanaisaidia serikali through indirect tax kwakununua mahitaji yao ya kila siku.
 
Angalia prons na cons mkuu, hata kama sisi tunatumia lakini legalizing it nikuandaa generation ambayo itakua na psychic problems na kudidimiza maendeleo ya nchi hii. Ni sawa na kusema tuhalalishe brothels unategemea nini? Vitu vingine kama unatumia basi tumia kimya kimya na wale mapusha/masadari kama wanamake money baas waache waendelee kumake money after all wanaisaidia serikali through indirect tax kwakununua mahitaji yao ya kila siku.
Labda tu pengine hukunisoma vizuri nimeongolea kuhusu kuboreshwa
 
Back
Top Bottom