Polisi wampiga vibaya Mwandishi wa Habari Zanzibar

Upuuzi huu haufai hata kidogo na naiona zanzibar ya kisomali a baada tu ya october!
 
Huku ni kuchochea machafuko mwisho mje kulaumu eti wapinzani cuf wana fujo. Matukio kama haya hayakubaliki yateleta maafa baadae.
 
win8

kwa nini apigwe yeye tu hata kama ni wa cuf? Waandishi wengine walikuwa wapi mpaka taarifa hiyo isitolewe kwenye media jana na leo? Je,wananchi kituoni hapo hawakuwepo makati anapigwa? Acha uongo wako kwani umedanganya mengi.
 
Last edited by a moderator:
Sishangai kama alidhaniwa ni wa CUF kwani bila aibu SUK imevunjwa na wawakilishi wa CCM kumkataa Makamu wa Kwanza wa Rais kuhudhuria Baraza na hakuna anayesema chochote(inaonekana ni sawa tu). Hivi hujiulizi kama nafasi ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar bado ipo au imefutwa?

Tujiulize haya yanatokea katika sehemu moja ya muungano na viongozi wa muungano wapo ila wameamua kukaa kimya nini maana yake?
 
amani kwenye nchi jirani ya zanzibar inaharibiwa na polis kutoka tanganyika. mwaka huu kuelekea uchaguzi mkuu hali imeanza kuwa mbaya huko unguja....
 
Poleni sana ndugu zetu ila kumbukeni alikisasu haki. Mwenyezimungu awalinde na hila za makafiri na madhalimu miongoni mwa wanafiki
 
"Tutatawala milele" - CCM. Heeeeeee! Kutawala milele, ndiyo kwa mbinu hizi???? OVYOOOOOOOO!!!!!! Afadhali Nkurunziza!
 
Wakati huyu mwandidhi akipigwa mapanga na magaidi wa ccm . Leo magaidi hao wa ccm wamevamia radio Coconut FM na kumtisha mwandishi na mtangazaji wa kituo hicho aliekua akiendesha kipindi kuhusu uchaguzi.
Kundi hilo la magaidi wapatao 20 lilifanya uhalifu huo kwa amri ya Waziri wa vikosi vya Zanzibar. Walivamia jengo hilo wakiwa na SMG machete marungu na silaha nyengine.

Magaidi hawa mbele ya ccm sio hatari na badala yake wamewatia ndani masheikh wetu bila ya sababu yoyote.
Ukweli uhalifu na ugaidi unao fanywa na hawa magaid wa ccm ni hatari na wana vunja amani ya nchi lakini ccm kufuga na kufundisha magaidi ni sawa.
Hakika ugaidi na uharamia huu ni mara mia ya maandamano ya uamsho ambao hawajawahi kutumia silaha ya moto.

Namhurumia Kikwete asipokua makini ataiacha zanzibar katika hali mbaya. Kuna kila dalili ccm znz hawakubali kushindwa na cuf nao wakiwa na support kubwa sana hawatokubali. Nahofia mauaji ya kama 64 yakarejea znz na waislam wengi kuuliwa . Kikwete unajukumu kubwa kuona hali inakua salama na uwashauri ccm znz kuwa wakubali matokeo kwa amani.
Sifa zote ulokuwa ukipata kuhusu aman huko znz itayeyuka kama utawakubslia wahuni wachache waiteke ccm znz kwa maslahi yao na sio ya nchi.
 
haa haa mkuu zanzibar hata cuf ikishinda haiwezi kutangazwa kamwe. wanaoshabikia uhalifu unaoendelea zanzibar wengi ni viongozi wa ccm zanzibar wakishirikiana na viongozi wa tanganyika. kwa zanzibar ukiwa mwana cuf wewe ni mwananchi wa daraja la pili. ccm zanzibar ni daraja la kwanza.
 
Kupiga wandishi sio solution ni kutuongeza hasira walala hoi na kuzipoteza kabisa chembe chembe zetu za uwoga
 
Siasa zenu mnazjiua na kuziweza wenyewe. . . . . .

Unaushabiki wa kijinga sn, policcm wanafanya kazi hiyo kushirikiana na usalama wa taifa halafu unaleta utumbo wako hapa, acha kujitoa msukule bhana na kutumika kama cndm.
 
Polisi hawana haki ya kupiga raia.

Ndio unajitia huzun now na kusema police hawana haki ya kupiga raia nikwl ulisemalo, ila inayoamrisha police kutumika vibaya kwa raia wake ni policcm na ccm yako ndio inayoratibu hayo mauaji na upigwaji kwa waandishi wa habar, unakumbuka Muandishi wa Chanel 10 kule iringa alivyo uwawa? Na huyo mtu aliyeratibu mauaji hayo kapandishwa cheo dar..
 
Sioni ni kwa nini nguvu ya umma Zanzibar inasubiri hadi uchaguzi mkuu kufanyika!
 
Namhurumia Kikwete asipokua makini ataiacha zanzibar katika hali mbaya. Kuna kila dalili ccm znz hawakubali kushindwa na cuf nao wakiwa na support kubwa sana hawatokubali. Nahofia mauaji ya kama 64 yakarejea znz na waislam wengi kuuliwa .
Usitake kupandisha hasira za udini kukumbushia yale Mapinduzi Matukufu ya 1964 yaliyomfurusha mtawala dhalimu kwa kuyaita ni mauaji ya 1964 Waislamu wengi kuuwawa!, Zanzibar Waislamu ni asilimia 99!, hivyo kukitokea mauaji yoyote, wakati wowote watakao uwawa wengi ni Waislamu!.

Kama waliopindua ile 1964 ni Afro Shiraz Party ambao sasa ni CCM, na waliopinduliwa ndio CUF, Zanzibar bado ni nchi ya kimapinduzi, aliyepinduliwa kamwe hawezi kuachiwa kurejea Zanzibar kwa mlango wowote wa mbele au wa nyuma!. Uchaguzi wa Zanzibar ni maigizo tuu, nchi haikabidhiwi kwa voting bali kwa vetting!.

Poleni!.

Pasco
 
Back
Top Bottom