Una ushahidi kuwa polisi ndio walimtupa?
kwa nini apigwe yeye tu hata kama ni wa cuf? Waandishi wengine walikuwa wapi mpaka taarifa hiyo isitolewe kwenye media jana na leo? Je,wananchi kituoni hapo hawakuwepo makati anapigwa? Acha uongo wako kwani umedanganya mengi.
Usitake kupandisha hasira za udini kukumbushia yale Mapinduzi Matukufu ya 1964 yaliyomfurusha mtawala dhalimu kwa kuyaita ni mauaji ya 1964 Waislamu wengi kuuwawa!, Zanzibar Waislamu ni asilimia 99!, hivyo kukitokea mauaji yoyote, wakati wowote watakao uwawa wengi ni Waislamu!.
Kama waliopindua ile 1964 ni Afro Shiraz Party ambao sasa ni CCM, na waliopinduliwa ndio CUF, Zanzibar bado ni nchi ya kimapinduzi, aliyepinduliwa kamwe hawezi kuachiwa kurejea Zanzibar kwa mlango wowote wa mbele au wa nyuma!. Uchaguzi wa Zanzibar ni maigizo tuu, nchi haikabidhiwi kwa voting bali kwa vetting!.
Poleni!.
Pasco
Huyo pia alifurahi pale pinda alipo sema tupigwe,leo anajifanya kuona huruma.
itakuwa ametupwa na majambazi basi mkuu.
majambazi yalikuwa na uniform za polisi, bunduki na gari la polisi pia walikodi.
Hivi huu ndo ule mwezi mtukufu kwa waislamu au ndio lini tena????? kwa zanzibar 99% ni waislamu maana yake hata askari nao wako katika mfungo! au walilifanya hili baada ya kufuturu??
Mimi nina amini katika sera ya kisasi.lipizeni kisasi kwao kwa wakati wenu,usiku au mchama kwake au kwa jamaa yake au kwa mtoto wake au mkewe....nina amini sana kwenye kulipiza kisasi.
Kwa hiyo unawajua waliompiga?!!!
mambo haya yataleta vita mbaya sana .