Polisi Marekani wawapiga maafisa, Profesa katika Chuo Kikuu cha Washington St. Louis, wamewavunja mbavu

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
47,243
32,756
Wanaukumbi.

Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St.
Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na kuvunjika mkono. Daktari mmoja alimwambia kuwa ana bahati ya kuwa hai.

Ikiwa haya yangekuwa matukio ya Urusi, Uchina, Iran au nchi yoyote ya Kiarabu, vyombo vya habari vya Magharibi vingewaita waandamanaji mashujaa, na kulaani serikali kwa kukamatwa kwa watu wengi na ukandamizaji wa kikatili, huku wakitaka mabadiliko ya utawala.

Kwa kuwa matukio haya yanatokea katika makao makuu ya himaya hiyo, waandishi wa habari wanaotii katika nchi za NATO hawathubutu kufanya tathmini kwamba Marekani inahitaji mabadiliko ya utawala, licha ya Rais kuwapa silaha na kuwezesha mauaji ya halaiki, huku serikali za shirikisho na serikali za majimbo zikiwakandamiza kikatili wanafunzi wa Amerika. .

View: https://x.com/prem_thakker/status/1785397144515469402?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hawa hamas wanaleta fujo kwa wanafunzi wayahudi. Sijui siku wayahudi wakileta fujo kwa Wapalestina hali itakuwaje.
 
Hawa hamas wanaleta fujo kwa wanafunzi wayahudi. Sijui siku wayahudi wakileta fujo kwa Wapalestina hali itakuwaje.
Hawa ni Hamas?

Hivi ndivyo wanavyowatendea wapenda amani katika Congress - kama wahalifu, huku wahalifu wa kivita wakipongezwa kwa matendo yao. Na wakati Congressman Jerry Nadler, cheo Democrat katika kamati ya mahakama, anapopita, yeye anakataa kuangalia au kujibu ombi yetu ya kuacha kutuma silaha kwa Israeli.

View: https://x.com/medeabenjamin/status/1785457488739119327?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Wanaukumbi.

Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St.
Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na kuvunjika mkono.
Daktari mmoja alimwambia kuwa ana bahati ya kuwa hai.

View: https://x.com/prem_thakker/status/1785397144515469402?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Wewe knachookuma ni kipi hapo wakati Polisi wa bongo wakipiga na kuua wapinzani unashangilia?
Halafu wewe unaleta malalamiko bila ya taarifa kamili? Hapo waandamanaji ni wengi, je unajua ni kwanini wamevutwa hao wawili pekee?
Demolrasia ya Marekani unayotaka kuijadili ndiyo hiyo iliyomuweka Trump ndani miezi kadhaa nyima bila ya kujali nafasi wala ukubwa wake na mpaka sasa anahudhuria mahalamani kujibu kesi anazotuhumiwa nazo. Ndiyo hiyo Demokrasia unayojaribu kuifubaza?
 
Hiyo democrasia ambayo haina utaratibu iishie huko huko American na Ulaya ambako wananchi ndio wanaongoza viongozi badala ya viongozi kuongoza wananchi, siku October 7 wayahudi wasiokuwa na hatia wanapigwa risasi hao hao waliandamana kuwapongeza hamas kwa kufanya shambulio lile, hiyo ni double standard, maandamano ilitakiwa yafanyike ya kushinikiza jamaa Aachie mateka na Israel asitishe vita, pia maandamano ya uvamizi wa Urus dhidi ya Ukraine mbona hatuyaoni, boko haramu kuteka wanafunzi wa kike 200 mbona hatuoni maandamano?
 
Huu Uharo uliondika kuna mtu anaweza kuusoma?

View: https://x.com/megatron_ron/status/1785567304396247041?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Unajitoa ufahamu Marekani Baba wa Demokrasia kama anavyojiitq hataki raia wake wafanye maandamo.

View: https://x.com/kahlissee/status/1785422760992248142?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hayo sio maandamano. Hawaendi popote. Wameweka kambi kwenye eneo la chuo na kuanza kuteka na kudhibiti majengo ya chuo. Kwa kifupi wana lengo la kuzuia chuo kisifanye kazi hadi madai yao yatimizwe.

Sasa mpe ushauri “baba wa demokrasia” anatakiwa afanye nini kitu muafaka ili aendelee kuwa baba wa demokrasia.
 
Hiyo democrasia ambayo haina utaratibu iishie huko huko American na Ulaya ambako wananchi ndio wanaongoza viongozi badala ya viongozi kuongoza wananchi, siku October 7 wayahudi wasiokuwa na hatia wanapigwa risasi hao hao waliandamana kuwapongeza hamas kwa kufanya shambulio lile, hiyo ni double standard, maandamano ilitakiwa yafanyike ya kushinikiza jamaa Aachie mateka na Israel asitishe vita, pia maandamano ya uvamizi wa Urus dhidi ya Ukraine mbona hatuyaoni, boko haramu kuteka wanafunzi wa kike 200 mbona hatuoni maandamano?
Angalia huyu Muisrael mweusi mlokole anakuambia machafuko yalianza Oct 7 hajui chochote kuhusu Palestina zaidi ya ushabiki mandanzi alivyokuwa punguani anataka kuwapangia wasomi wa Marekani wafanye anavyotaka yeye.

View: https://x.com/anthonycabassa_/status/1785573368839987269?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Tumia akili wewe Matak.o Gang.
Wewe kila kitu ni kuendeshwa kwa mihemuko tu. Nimekwambia lete taarifa kamili za kwanini Polisi wanatumia nguvu unabaki unarukaruka tu.
Si afadhali mimi unayeona naandika uharo, kuliko wewe ambaye ndiye uharo wenyewe!
Hivi uharo unaonadika hapo kweli kuna mtu atajadiliana na punguani kama wewe😀.

Akili za kishoga tu kila saa unawaza matako tu.

View: https://x.com/prem_thakker/status/1785480680496885765?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom