Zero IQ JF-Expert Member Dec 21, 2016 13,916 24,674 Oct 9, 2017 #3 Na picha kabla ya kushindwana kwenye ndoa utupe mkuu.
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,153 13,223 Oct 9, 2017 #6 NDOA: Taasisi ambayo walio nje wanatamani kuingia ili hali walo NDANI WANATAMANI KUTOKA
jay311 JF-Expert Member Oct 21, 2012 2,932 2,711 Oct 10, 2017 #8 Aisee... Hope mtadumu msiwe kama wale wengine
GIUSEPPE JF-Expert Member Dec 31, 2011 5,239 6,197 Oct 10, 2017 #10 hii ni pre wedding photo , sio utani.
Mchumiajuone Member Dec 15, 2016 66 33 Oct 10, 2017 #16 Ndoa ndiyo vita pekee ambapo mtu analala na adui yake katika kitanda kimoja.
butron JF-Expert Member Jun 3, 2013 5,345 7,406 Oct 10, 2017 #18 Dah,ndiyo maana watu wakiachwa wanadata!
bhachu JF-Expert Member Jul 29, 2015 8,358 9,557 Oct 10, 2017 #19 Amavubi said: NDOA: Taasisi ambayo walio nje wanatamani kuingia ili hali walo NDANI WANATAMANI KUTOKA Click to expand... Daaaah
Amavubi said: NDOA: Taasisi ambayo walio nje wanatamani kuingia ili hali walo NDANI WANATAMANI KUTOKA Click to expand... Daaaah
Mbao za Mawe JF-Expert Member May 11, 2015 23,369 54,768 Oct 10, 2017 #20 Picha hizi zinachochea sana Ndoa hebu weka na Picha baada ya Ndoa yao.