Pesa za madai za Membe zitalipwa kwa familia? Sheria inasemaje?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
38,274
47,499
Baada ya kifo cha Membe familia yake inaweza kudai pesa zake alizotakiwa kulipwa na Musiba kwa kumchafua au Musiba ndio anakuwa amepona na kuchomoka katika hayo madai ya kulipa pesa za kuchafua hadhi?

Wataalamu wa sheria hii imekaaje kwa muongozo wa kiseheria?
 
ZITALIPWA
 
Tumstiri kwanza Marehemu jamani, ubinadam kwanza,

Mali zipo tu tunazipata na tutaziacha hapa Duniani.
 
Imekwishaa hio, hamna malipo yoyote hapo yatakayo lipwa. Deni la kumchafua mtu akifa halilipwi kisheria maana mdai keshaenda zake kwa mola. lingekua ni deni la kibiashara walifanya, hapo lingerithishwa kwa wengine. Musiba anachekelea tu huko alipo.
 
Mtu kitu watu tunaweka fedha mbele kweli kweli mtu kafa leo hamjali mnaangalia deni lake ila Membe alishangilia sana kifo cha Magufuli aya nae kafa nipeni Bapa.
 
Mtu kitu watu tunaweka fedha mbele kweli kweli mtu kafa leo hamjali mnaangalia deni lake ila Membe alishangilia sana kifo cha Magufuli aya nae kafa nipeni Bapa.
Aliyekufa kafa, maisha mengine yanaendelea kama kawaida.
 
Mzee msiba Kama wakimdai kwa kumsumbua alipe,awape pesa za chuma ulete ili show iendelee.
 
STEVEN MEMBE: NIKIWA HAI LAZIMA NIHAKIKISHE HAKI ZA KAKA ZINAPATIKANA IKIWEMO MUSIBA KULIPA PESA

Back
Top Bottom