Paul Makonda awatengea barabara moja wajasiriamali maalumu kwa ajili ya kufanyia biashara zao siku ya Mei Mosi

Kwa hiyo unakuwa unadadisi ukiwa na njaa zako tumboni.huo udadisi utafanikiwa kweli wakati una msongo wa mawazo na njaa kali. Unafikiri watu na matajiri wote unaowaona leo hii walianzia juu au hapo walipo.hufahamu kuwa walianzia huku chini kwa wajasiriamali ndio wakakua kimitaji?
Huna unacho jua kwa kifupi,
 
Ndugu zangu watanzania,

Mwamba Paul Christian Makonda ndio maana anapendwa sana na wananchi wanyonge na wa hali ya chini wenye maisha ya kawaida na ya kutafuta mkate na chakula kila siku pale jua linapochomoza,ndio maana anakubalika sana hapa nchini,ndio maana anaungwa mkono na watu wengi sana,ndio maana mikutano yake hufurika na kumiminika watu utafikiri mchanga wa baharini,ndio maana amekuwa akiwashinda maadui zake wanaomuombea na kumtakia mabaya,ndio maana anapata maombi ya baraka kutoka kwa viongozi mbalimbali wa kidini kutoka madhehebu mbalimbali ya hapa nchini.

Hii ni kwa kuwa ni mtu na kiongozi anayewajali sana wanyonge na watu wa kipato cha chini,hii ni kwa kuwa utumishi wake ni kwa ajili ya kugusa maisha ya watu,kuleta matumaini kwenye mioyo ya watu,kuwasha nuru na mwanga katikati ya giza,kuonyesha njia mahali pasipo na njia,kuleta faraja na furaha mahali penye kukata Tamaa,kuwashika mikono na kuwainua walio chini.

Sasa baada ya Mei Mosi mwezi ujao Arusha kuwa mwenyeji na muandaaji wa sherehe za mei mosi kitaifa mwaka huu ,Mwamba Makonda amefanya kitu cha kitofauti sana ,kitu cha kuigwa ,kitu cha kibunifu,kitu cha kipekee na alama itakayokumbukwa na wajasiriamali wa Arusha na mikoa ya kanda ya kaskazini,kitu kitakacho inua uchumi wa vijana mbalimbali.

Hii ni baada ya kuja na wazo la kibunifu kwa ajili ya wajasiriamali wa Arusha.,ambapo yeye na uongozi wa mkoa wa Arusha wameamua kutenga barabara moja maalumu kando kando ya uwanja wa sheik Abeid ,utakaotumika kwenye maadhimisho kwa ajili ya wajasiriamali kufanyia biashara zao mbalimbali.hii maana yake ni kuwa wajasiriamali watapanga na kuweka bidhaa zao mbalimbali kwa ajili ya wateja wao ambao watakuwa wamefurika katika viwanja hivyo kutoka maeneo mbalimbali hapa nchini.

Hii maana yake ni kuwa amewarahisishia pia wageni mbalimbali kupata huduma na mahitaji karibu kabisa pasipo kusafiri umbali mrefu kutafuta bidhaa au kuamua kuacha kabisa.lakini uwepo wa bidhaa karibu ni fursa kwa pande zote mbili yaani wahudhuriaji pamoja na wajasiriamali ambao wameletewa wateja na kupewa fursa karibu na eneo la kuuzia bidhaa zao bila bugudha wala kukimbizana na migambo wa jiji.

Makonda acheni aitwe Mwamba tu. Huyu jamaa ni mbunifu sijapata kuona.huyu Mwamba nilishawaambieni kuwa hata apewe kuongoza mtaa tu basi amini nawaambieni ya kuwa mtaa huo utafahamika ndani ya nchi na nje ya mipaka ya Tanzania, na kila mtu atatamani kutembelea mtaa huo na kufanya shughuli zake. Mwamba anajuwa afanye nini na kwa wakati gani,huyu ni Mwamba ambaye huwa hapishani na muda bali huwa mbele ya muda ili muda unapofika umkute amejiandaa na yupo eneo husika na siyo kufanya mambo kwa zima moto.

Lakini pia Mwamba Mwenyewe Makonda amewakaribisha wananchi wote kuhudhuria kwa wingi sana katika sherehe hizo za mei mosi ili kuungana na watumishi wa umma ambao wapo kwa ajili ya kuihudumia jamii na kuhakikisha kuwa jamii inapata huduma bora na stahiki.hivyo kuwapa moyo watumishi hawa ni vyema kuhudhuria kwa wingi na kujumuika nao kwa pamoja.maana shughuli ni watu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. MAMA ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu muhula wa pili .
View attachment 2975307
Yaani kuna post nikiona tu najua ni wewe,
My friend upo kiwango cha juu cha uchawa!
 
Wazo zuri
Ila hiyo barabara ilijengwa kwa ajili ya biashara ndogo ndogo?

Najiuliza tuu tarura au tanroad walijenga kwaajili ya shughuli hiyoo.

Ila kama haina matumizi its ok. Wazo zur na ubunifu huo unahitajika
 
Kuna vijibwa vilituambia kuwa mwamba anatumbuliwa ukuu wa Mkoa!! Kumbe mwamba anatumikia wanyonge kama kawaida.

Safi sana CHAWA wamegalagazwa
 
Hapana ndugu yangu .mimi simsifii bali nilikuwa naandika uhalisia na ukweli tu kumuhusu Mheshimiwa Makonda na uchapakazi wake pamoja na ubunifu alionao
'ndio maana anakubalika sana hapa nchini,ndio maana anaungwa mkono na watu wengi sana,ndio maana mikutano yake hufurika na kumiminika watu utafikiri mchanga wa baharini,ndio maana amekuwa akiwashinda maadui zake wanaomuombea na kumtakia mabaya,ndio maana anapata maombi ya baraka kutoka kwa viongozi mbalimbali wa kidini kutoka madhehebu mbalimbali ya hapa nchini.'

Maneno yote hayo unamsifia mwanaume mwenzio huoni kama inakushushia hadhi na kutweza utu wako?
 
Mimi nimeandika ukweli na siyo kusifia.
 
Wazo zuri
Ila hiyo barabara ilijengwa kwa ajili ya biashara ndogo ndogo?

Najiuliza tuu tarura au tanroad walijenga kwaajili ya shughuli hiyoo.

Ila kama haina matumizi its ok. Wazo zur na ubunifu huo unahitajika
Kwani maadhimisho yanapofanyika uwanja ulijengwa kwa ajili ya maadhimisho?
 
Ndugu zangu watanzania,

Mwamba Paul Christian Makonda ndio maana anapendwa sana na wananchi wanyonge na wa hali ya chini wenye maisha ya kawaida na ya kutafuta mkate na chakula kila siku pale jua linapochomoza,ndio maana anakubalika sana hapa nchini,ndio maana anaungwa mkono na watu wengi sana,ndio maana mikutano yake hufurika na kumiminika watu utafikiri mchanga wa baharini,ndio maana amekuwa akiwashinda maadui zake wanaomuombea na kumtakia mabaya,ndio maana anapata maombi ya baraka kutoka kwa viongozi mbalimbali wa kidini kutoka madhehebu mbalimbali ya hapa nchini.

Hii ni kwa kuwa ni mtu na kiongozi anayewajali sana wanyonge na watu wa kipato cha chini,hii ni kwa kuwa utumishi wake ni kwa ajili ya kugusa maisha ya watu,kuleta matumaini kwenye mioyo ya watu,kuwasha nuru na mwanga katikati ya giza,kuonyesha njia mahali pasipo na njia,kuleta faraja na furaha mahali penye kukata Tamaa,kuwashika mikono na kuwainua walio chini.

Sasa baada ya Mei Mosi mwezi ujao Arusha kuwa mwenyeji na muandaaji wa sherehe za mei mosi kitaifa mwaka huu ,Mwamba Makonda amefanya kitu cha kitofauti sana ,kitu cha kuigwa ,kitu cha kibunifu,kitu cha kipekee na alama itakayokumbukwa na wajasiriamali wa Arusha na mikoa ya kanda ya kaskazini,kitu kitakacho inua uchumi wa vijana mbalimbali.

Hii ni baada ya kuja na wazo la kibunifu kwa ajili ya wajasiriamali wa Arusha.,ambapo yeye na uongozi wa mkoa wa Arusha wameamua kutenga barabara moja maalumu kando kando ya uwanja wa sheik Abeid ,utakaotumika kwenye maadhimisho kwa ajili ya wajasiriamali kufanyia biashara zao mbalimbali.hii maana yake ni kuwa wajasiriamali watapanga na kuweka bidhaa zao mbalimbali kwa ajili ya wateja wao ambao watakuwa wamefurika katika viwanja hivyo kutoka maeneo mbalimbali hapa nchini.

Hii maana yake ni kuwa amewarahisishia pia wageni mbalimbali kupata huduma na mahitaji karibu kabisa pasipo kusafiri umbali mrefu kutafuta bidhaa au kuamua kuacha kabisa.lakini uwepo wa bidhaa karibu ni fursa kwa pande zote mbili yaani wahudhuriaji pamoja na wajasiriamali ambao wameletewa wateja na kupewa fursa karibu na eneo la kuuzia bidhaa zao bila bugudha wala kukimbizana na migambo wa jiji.

Makonda acheni aitwe Mwamba tu. Huyu jamaa ni mbunifu sijapata kuona.huyu Mwamba nilishawaambieni kuwa hata apewe kuongoza mtaa tu basi amini nawaambieni ya kuwa mtaa huo utafahamika ndani ya nchi na nje ya mipaka ya Tanzania, na kila mtu atatamani kutembelea mtaa huo na kufanya shughuli zake. Mwamba anajuwa afanye nini na kwa wakati gani,huyu ni Mwamba ambaye huwa hapishani na muda bali huwa mbele ya muda ili muda unapofika umkute amejiandaa na yupo eneo husika na siyo kufanya mambo kwa zima moto.

Lakini pia Mwamba Mwenyewe Makonda amewakaribisha wananchi wote kuhudhuria kwa wingi sana katika sherehe hizo za mei mosi ili kuungana na watumishi wa umma ambao wapo kwa ajili ya kuihudumia jamii na kuhakikisha kuwa jamii inapata huduma bora na stahiki.hivyo kuwapa moyo watumishi hawa ni vyema kuhudhuria kwa wingi na kujumuika nao kwa pamoja.maana shughuli ni watu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. MAMA ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu muhula wa pili .
View attachment 2975307
Hadi umebubujikwa na machozi ya huba kwa nyamitako
 
Kwa kuwa humu ni ruksa kwa mtu mzima na mwenye wadhifa fulani kuongea pumba wacha tu niongee pumba kwa kuwa hamna anayeni fahamu humu wacha niseme hivi,akili za bashite zina-roam between his big booty and head, the worse is pale zinapo-settle on his nasty big booty
 
Back
Top Bottom