Nyumba inatakiwa kuwa na moto, pakipoa inaboa!

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,867
3,586
Nyumba lazima iwe ya moto yaani wakati wowote kinahappen mara wametokea wamama wa vikoba wamefuata rejesho kwa mkeo maana bidada kakopa halafu kauchuna hataki kupeleka rejesho imebidi wamama wajikusanye wawe kundi kutia msukumo maana wanajua wanaenda kukabiliana na mtu mtata.

Huku na huko mara akinamama na vijora vyao hawa hapa wametimba home kumsuta mkeo sijui alitia umbea gani uko kumbe umemfikia mhusika na sasa kimewaka wanakuja kumchamba bidada na wasivyo na dogo wamekuja na bendi yao kabisa.

au hamjakaa sawa mkeo kamuwashia moto mama wa nyumba ya jirani maana kashtukia mchezo wa mama huyo wa nyumba jirani kukutazama mumewe kwa jicho la husda

Kwangu mimi (SIO WEWE) huyu sasa ndo real waifo huyu
 
Nyumba lazima iwe ya moto yaani wakati wowote kinahappen mara wametokea wamama wa vikoba wamefuata rejesho kwa mkeo maana bidada kakopa hlf kauchuna hataki kupeleka rejesho imebidi wamama wajikusanye wawe kundi kutia msukumo maana wanajua wanaenda kukabiliana na mtu mtaa.

Huku na huko mara akinamama na viroja vyao hawa hapa wametimba home kumsuta mkeo sijui alitia umbea gani uko kumbe umemfikia mhusika na sasa kimewaka wanakuja kumchamba bidada na wasivyo na dogo wamekuja na bendi yao kabisa.

au mkeo kamuwashia moto mama wa nyumba ya jirani maana kashtukia mchezo wa mama huyo wa nyumba jirani kukutazama mumewe kwa jicho la husda

Kwangu mimi (SIO WEWE) huyu sasa ndo real waifo hii
Unaota wewe!Au umeshaanza kutupia vyombo?Nyumba ya hivyo hukawii kutorokea Namtumbo.
 
Sina conclusion ya hiyo, ingawa mala kadhaa amekua akisema “ sisi wapare hatupendi kuchezewa”
Kwa hiyo angekuwa si mpare angechezewa?Aache kutanguliza kabila kabla ya utu,heshima na kujitambua kwake.Amepima DNA na kuviona vinasaba vyake kama vina makande/pure?😂😂😂
 
Back
Top Bottom