Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 35,014
- 56,225
The real man hapendi makelele.Unapaswa udumishe utulivu,amani,heshima na upendo nyumbani.Mkeo anaanzaje kukopa huku hajui atalipaje bila wewe kujua?Ni dharau na nia ovu ya kukudhalilisha.Zuia upuuzi huo asap!Kuna kipindi mwanaume unapaswa(hauombwi)kuwa mbabe na usiyetabirika kimaamuzi ili adabu itamalaki malangoni pako.Say amen!🙏kwann mkuu