Nitumie nini kuondoa kutu kwenye hivi vyuma

Afisa Mteule Drj 2

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
3,720
4,149
Ni vyuma vya pelleting machine vimeshika sana kutu hivyo nataka kuvirudisha kwenye hali yake ya kawaida
20240416_110335.jpg
 
Jaribu kuikumbuka mkuu
Ukienda kwenye maduka ya spea za magari waambie wakuuzie ile dawa inayowekwa kwenye bolt nut iliyokataa kufunguka.
Ukiikosa hiyo nunua mafuta ya hydraulic nusu lita tu itakutosha kuloweka hivyo vifaa vyako then baada ya masaa 24 anza kuvisafisha.
 
AB40 unapulizia ama chukua maji ya betri yaliyotumika kuepuka gharama, sabuni ya unga na msasa laini
 
Ukienda kwenye maduka ya spea za magari waambie wakuuzie ile dawa inayowekwa kwenye bolt nut iliyokataa kufunguka.
Ukiikosa hiyo nunua mafuta ya hydraulic nusu lita tu itakutosha kuloweka hivyo vifaa vyako then baada ya masaa 24 anza kuvisafisha.
Sawa mkuu
 
Nikumbushe ni miaka mingi imeteleza sukumbuki kitu
Tulifanya tukiwa shule.
Does-Magnesium-Oxidize-18.png
  • A container(plastic) large enough for your object.
  • An electrical power source
  • An anode (zinc or magnesium)
  • Electrolyte solution (sodium carbonate, sodium bicarbonate, or sodium chloride)
  • A wire brush
  • Protective gloves and eyewear
 
Back
Top Bottom