Hata kama ni kukataa ndoa ila kuwa na mpenzi mmoja permanent muhimu sana, nakula vyuma mfululizo mpaka sielewi!

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,344
27,740
Kifupi mimi ni team kataa ndoa, nilishakuwa huko mwisho wa siku nikaona ni UBATILI tu!

Mechi za hapa na pale huwa zinachezwa, maana wadada wa mjini cha msingi ni hela yako tu! Sasa kilichotokea toka mwaka uanze hata sielewi, kila kukicha nakula vyuma yan hata yale makoloni yangu ya zaman yote yamekula kona, Wanawake wapya kwenye sekta ya kutongoza nako nilishashindwa. Ni hivi nakuwa straight sana kwenye point, yan mwanamke akianza kuleta story sijui bado mapema na nini story inakuwa imeishia hapo.

Ila nimewaza hii lifestyle mpka lini, mnaopata wanawake wanaoeleweka mnafanyeje?kuna natamani hata atokee mdada anigande nianze kumpa hela
 
Mechi za hapa na pale huwa zinachezwa, maana wadada wa mjini cha msingi ni hela yako tu! Sasa kilichotokea toka mwaka uanze hata sielewi, kila kukicha nakula vyuma yan hata yale makoloni yangu ya zaman yote yamekula kona,wanawake wapya kwenye sekta ya kutongoza nako nilishashindwa. Ni hivi nakuwa straight sana kwenye point, yan mwanamke akianza kuleta story sijui bado mapema na nini story inakuwa imeishia hapo.

Ila nimewaza hii lifestyle mpka lini, mnaopata wanawake wanaoeleweka mnafanyeje?kuna natamani hata atokee mdada anigande nianze kumpa hela
Anzisha kamradi kenye vyakula na vinywaji! Hawa viumbe kwa kupenda kulakula na kunywakunywa ukikaa pale wee kazi yako kuchagua mbususu aliyenona!
 
Kifupi mimi ni team kataa ndoa, nilishakuwa huko mwisho wa siku nikaona ni UBATILI tu!

Mechi za hapa na pale huwa zinachezwa, maana wadada wa mjini cha msingi ni hela yako tu! Sasa kilichotokea toka mwaka uanze hata sielewi, kila kukicha nakula vyuma yan hata yale makoloni yangu ya zaman yote yamekula kona, Wanawake wapya kwenye sekta ya kutongoza nako nilishashindwa. Ni hivi nakuwa straight sana kwenye point, yan mwanamke akianza kuleta story sijui bado mapema na nini story inakuwa imeishia hapo.

Ila nimewaza hii lifestyle mpka lini, mnaopata wanawake wanaoeleweka mnafanyeje?kuna natamani hata atokee mdada anigande nianze kumpa hela
Daaah hii ni kweli
 
Back
Top Bottom