Nitabaki na kumbukumbu ya hizi opportunity nilizoziacha zikanipita

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,107
10,753
Pengine hizi opportunity ningezitumia basi na mimi BabaMorgan ningekuwa na visa kadhaa kwenye ule uzi pendwa wa kula tunda kimasihara.

1. Huyu alikuwa mtoto wa mwenye nyumba wetu kule mabibo tulipopanga alikuwa ni mkubwa kwangu na mwanamke mwenye standard zote za uzuri mixer ya kichaga na kinyakyusa tulikuwa tumezoeana sana kuna siku ilikuwa jioni tunapiga story kibarazani kwao tupo wawili tu ghafla akaniambia kitovu chake kinamwasha nimsaidie kukikuna akapandisha nguo ili nianze kumkuna kweli nikamkuna kama dk 2 nikamuuliza vipi kimeacha akaniambia ndio ila ule muasho umeamia kwenye chuchu zake nikamwambia hio itakuwa ni allergy nikamwambia anipe hela nikamnunulie vidonge vya allergy akaniambia ngoja aangalie mpaka usiku kama muasho utaendelea nikamwambia poa tukaendelea na stori nyingine.

2. Hii ilikuwa straight threesome. kipindi nasoma CBE kuna wadada wengi nilikuwa nawafundisha masomo ya mahesabu miongoni mwao walikuwa hawa mabinti mmoja kutoka Arusha na mwingine Singida walikuwa wakiishi pamoja nje ya chuo walipanga room. that day mmoja wao alinipigia simu niende room kwao nikawaelekeze kuhusu FIFO na LIFO mliosoma Procurement mtakuwa mmeelewa mzee chap kwa haraka nikatinga mpaka room kwao nikamkuta yule wa Arusha baada ya kama dk5 akaja yule wa Singida ametoka kuoga amefunga kanga tu nikawambie ngoja niwapishe mjiandae kwa maana wavae nguo wote walikuwa na kanga tu wote kwa pamoja wakasema haina haja ya mimi kutoka wanabadilisha haraka tuendelee na pindi ila mmoja akasema nifunge macho nisije kuwa kipofu yule wa Arusha nikaona kafungua kanga kabaki na kyupi tu na huyu aliyetoka kuoga kafungua kanga kabaki bila chochote wakatafuta nguo wakavaa tukaendelea na pindi letu.

3. Huyu alikuwa mpangaji wetu alikuwa na mimba mimi chumba changu kilikuwa karibu na jiko ambapo watu wote wanapikia yaani wapangaji pamoja na sisi ilikuwa mchana amepandika maharage akaniambia anataka kujilaza ila anahofia akienda chumbani kwake maharage yataungua anaomba ajilaze kitandani kwangu mimi nikajibu kuwa mimi niende kujilaza wapi akaniambia tujilaze wote.
 
Kuna **** mbili niliwai zikosa tangu siku iyo. Nikiitwa popote na mwanamke au nikienda kwake lazima nibebe pakiti yangu pembeni.

Sema mi vyema tuendelee kujifunza huku tunazijikata.

Hint. Ukianzisha vurugu la kuforce mchezo Tafadhali usirudi nyuma au ukaogopa kuendelea. Force ata ukojoe cha jogoooooo
 
Pengine hizi opportunity ningezitumia basi na mimi BabaMorgan ningekuwa na visa kadhaa kwenye ule uzi pendwa wa kula tunda kimasihara.

1. Huyu alikuwa mtoto wa mwenye nyumba wetu kule mabibo tulipopanga alikuwa ni mkubwa kwangu na mwanamke mwenye standard zote za uzuri mixer ya kichaga na kinyakyusa tulikuwa tumezoeana sana kuna siku ilikuwa jioni tunapiga story kibarazani kwao tupo wawili tu ghafla akaniambia kitovu chake kinamwasha nimsaidie kukikuna akapandisha nguo ili nianze kumkuna kweli nikamkuna kama dk 2 nikamuuliza vipi kimeacha akaniambia ndio ila ule muasho umeamia kwenye chuchu zake nikamwambia hio itakuwa ni allergy nikamwambia anipe hela nikamnunulie vidonge vya allergy akaniambia ngoja aangalie mpaka usiku kama muasho utaendelea nikamwambia poa tukaendelea na stori nyingine.

2. Hii ilikuwa straight threesome. kipindi nasoma CBE kuna wadada wengi nilikuwa nawafundisha masomo ya mahesabu miongoni mwao walikuwa hawa mabinti mmoja kutoka Arusha na mwingine Singida walikuwa wakiishi pamoja nje ya chuo walipanga room. that day mmoja wao alinipigia simu niende room kwao nikawaelekeze kuhusu FIFO na LIFO mliosoma Procurement mtakuwa mmeelewa mzee chap kwa haraka nikatinga mpaka room kwao nikamkuta yule wa Arusha baada ya kama dk5 akaja yule wa Singida ametoka kuoga amefunga kanga tu nikawambie ngoja niwapishe mjiandae kwa maana wavae nguo wote walikuwa na kanga tu wote kwa pamoja wakasema haina haja ya mimi kutoka wanabadilisha haraka tuendelee na pindi ila mmoja akasema nifunge macho nisije kuwa kipofu yule wa Arusha nikaona kafungua kanga kabaki na kyupi tu na huyu aliyetoka kuoga kafungua kanga kabaki bila chochote wakatafuta nguo wakavaa tukaendelea na pindi letu.

3. Huyu alikuwa mpangaji wetu alikuwa na mimba mimi chumba changu kilikuwa karibu na jiko ambapo watu wote wanapikia yaani wapangaji pamoja na sisi ilikuwa mchana amepandika maharage akaniambia anataka kujilaza ila anahofia akienda chumbani kwake maharage yataungua anaomba ajilaze kitandani kwangu mimi nikajibu kuwa mimi niende kujilaza wapi akaniambia tujilaze wote.
Natumaini umejifunza ulipokosea, yasijirudie.
 
Ila Blaza kweli wewe ulikuwa mzito sana
 
Aiseeee mimi ni fala upande huo ila we mwanangu umenizidi!! Eti itakuwa allergy hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom