Nissan Hardbody J83 Engine QD32

Gien Banks

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
313
763
Kwema Wakuu

Naomba kujuzwa spare parts za hii gari tajwa NISSAN HARDBODY J83 ENGINE QD32 napata wapi za mtumba imported na spare used za hapa hapa bongo (maana spare used za hapa bongo ni cheaper kdgo hasa kwa wale wanao kata na ku scrap magari)

Currently nahitaji cutter out za alternator za hyo gari (zimezingua) ikishindikana ninunue alternator nyingine used and some other parts as gari as naifanyia matengenezo mapya.

Nakaribisha ushauri na maelekezo.

Shukrani
 
Nenda Temeke au Tandale Spare za QD32 zipo kibao
 
Ilala unapata

Wengine wanasema kule mabei kama yote…cz ilala well wale wengin ni importers ila huenda tandale ukapata cheaper (cz ni used in bongo)

Hapa natafta chimbo ikifaa hata contacts za wahusika niwacheck.

Thanks
 
Back
Top Bottom