The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,114
- 115,936
sijui na wewe itabidi utuombe radhi ukibadilisha hiyo avatar yako?
HA HA HA
humu kuna vituko,
itabidi na mimi niombe radhi kwa kuwasumbua kina dada....lol
sijui na wewe itabidi utuombe radhi ukibadilisha hiyo avatar yako?
sijui na wewe itabidi utuombe radhi ukibadilisha hiyo avatar yako?
........Avatar yangu ipo poa, hakuna anayekwazika.........hivyo sitaibadili.
i think he mean me...
........omba radhi sasa ha hah hahah
HA HA HA
humu kuna vituko,
itabidi na mimi niombe radhi kwa kuwasumbua kina dada....lol
We acha tu BOSS....LOL!
ha ha ha ha
niwaombe radhi kina dada kwa
kuwaweka majaribuni....ha ha ha..
i wish ningekuwa na sura na shepu hiyo ya kujaza pm yangu
kwa kweli....
although my gf thinks i am more than denzel........lol
........Avatar yangu ipo poa, hakuna anayekwazika.........hivyo sitaibadili.
THE BOSS kama vile umeingia kichwani mwangu maana jana nilikuwa naingalia Avatar yako nikawa najisemea moyoni hii Avatara ya BOSS noma ngoja nitamtafuta Mkuu nimjulishe ili atafute jingine sasa sina haja ya kukutafuta tena. Hiyo Avatar imetulia na inaendana kabisa na THE BOSS sasa kazi kwako kama wengine wakilalamika kwamba umewaingiza majaribuni na wao ni walokole hahahahahahaha Ebo! unaweza kushtakiwa ati kwa kuwaingiza watu majaribuni na kufanya madudu ambayo hawakuyakusudia kazi kwako lakini ukihitaji lawyer wewe nishtue tu nitaenda kumuamgukia El Maamry akutetee na yule rekodi yake ni nzuri sana hivyo utashinda tu na kuwa compensated gharama zako zote za kesi
na huyo pia ni denzel...
Najaribu kuweka mvuto....
Naona warembio wanani over look...
Hahahahahahahaaaa eh! warembo wana "kuover look" siyo!? Kila wakiangalia BOSS mwenyewe wanaishia kusema na "Huyu naye sasa alikosa avatar hata akaenda kutafuta huyu babu wa kizungu aliyechoka tena ana kipara" hahahahahahah. Hongera kwa avatar mpya mimi naifagilia hiyo kwa sana tu na tafadhali usiondoe hata kama watu watakwazika lakini ujiandae kwa miPM kibao kuanza kumiminika kwa wingi maana warembo watafall in love na Avatar yako....LOL! Vituko vya JF
na nimesafisha pm
ipo nyeupee
ili kuzisubiri hizo meseji za warembo.
ha haha lol
life is good.
na mungu ni mwema....
vituko humu vinaongezeka....kila siku....
It is true life is good BOSS na kila siku namshukuru Muumba wetu kwa neema zake kubwa kubwa na ndogo ndogo pia.
kabisa mkuu...
we are nothing,without mungu...
ha ha ha ha
niwaombe radhi kina dada kwa
kuwaweka majaribuni....ha ha ha..
i wish ningekuwa na sura na shepu hiyo ya kujaza pm yangu
kwa kweli....
although my gf thinks i am more than denzel........lol