Nisameheni

........omba radhi sasa ha hah hahah

ha ha ha ha
niwaombe radhi kina dada kwa
kuwaweka majaribuni....ha ha ha..
i wish ningekuwa na sura na shepu hiyo ya kujaza pm yangu
kwa kweli....
although my gf thinks i am more than denzel........lol
 
ha ha ha ha
niwaombe radhi kina dada kwa
kuwaweka majaribuni....ha ha ha..
i wish ningekuwa na sura na shepu hiyo ya kujaza pm yangu
kwa kweli....
although my gf thinks i am more than denzel........lol

THE BOSS kama vile umeingia kichwani mwangu maana jana nilikuwa naingalia Avatar yako nikawa najisemea moyoni hii Avatara ya BOSS noma ngoja nitamtafuta Mkuu nimjulishe ili atafute nyingine sasa sina haja ya kukutafuta tena. Hiyo Avatar imetulia na inaendana kabisa na THE BOSS sasa kazi kwako kama wengine wakilalamika kwamba umewaingiza majaribuni na wao ni walokole utajiju hahahahahahaha

Ebo! unaweza kushtakiwa ati kwa kuwaingiza watu majaribuni na kufanya madudu ambayo hawakuyakusudia kazi kwako lakini ukihitaji lawyer wewe nishtue tu nitaenda kumuangukia El Maamry akutetee na yule rekodi yake ni nzuri sana hivyo utashinda tu na kuwa compensated gharama zako zote za kesi :)
 
........Avatar yangu ipo poa, hakuna anayekwazika.........hivyo sitaibadili.

Bora Pretty...Good for you maana wengine tunasuuzika roho zetu tukikuona mrembo hahahahahah usituwekee mazagazaga mengine tukaanza kukimbia kila tukiona jumbe zako...ahhhhh! nani tena Pretty na hii avatar yake inayotisha!....hahahahahahah basi hata ulichoandika mtu hasomi....LOL! Namkumbuka jamaa mmoja nadhani bado yuko jina lake BURN avatar yake ilikuwa inalalamikiwa sana na nafikiri aliibadilisha maana kinywa kilikuwa wazi utafikiri nini sijui hahahahaha
 
THE BOSS kama vile umeingia kichwani mwangu maana jana nilikuwa naingalia Avatar yako nikawa najisemea moyoni hii Avatara ya BOSS noma ngoja nitamtafuta Mkuu nimjulishe ili atafute jingine sasa sina haja ya kukutafuta tena. Hiyo Avatar imetulia na inaendana kabisa na THE BOSS sasa kazi kwako kama wengine wakilalamika kwamba umewaingiza majaribuni na wao ni walokole hahahahahahaha Ebo! unaweza kushtakiwa ati kwa kuwaingiza watu majaribuni na kufanya madudu ambayo hawakuyakusudia kazi kwako lakini ukihitaji lawyer wewe nishtue tu nitaenda kumuamgukia El Maamry akutetee na yule rekodi yake ni nzuri sana hivyo utashinda tu na kuwa compensated gharama zako zote za kesi :)

Honestly....
nazisubiri kesi hizo kwa hamu....
its about time,na sisi wanaume tushitakiwe
kwa kuwaingiza kina dada kwenye hali ngumu.
ha ha ha ha lol......
 
na huyo pia ni denzel...
Najaribu kuweka mvuto....
Naona warembio wanani over look...

Hahahahahahahaaaa eh! warembo wana "kuover look" siyo!? Kila wakiangalia BOSS mwenyewe wanaishia kusema na "Huyu naye sasa alikosa avatar hata akaenda kutafuta huyu babu wa kizungu aliyechoka tena ana kipara" hahahahahahah. Hongera kwa avatar mpya mimi naifagilia hiyo kwa sana tu na tafadhali usiondoe hata kama watu watakwazika lakini ujiandae kwa miPM kibao kuanza kumiminika kwa wingi maana warembo watafall in love na Avatar yako....LOL! Vituko vya JF
 
Hahahahahahahaaaa eh! warembo wana "kuover look" siyo!? Kila wakiangalia BOSS mwenyewe wanaishia kusema na "Huyu naye sasa alikosa avatar hata akaenda kutafuta huyu babu wa kizungu aliyechoka tena ana kipara" hahahahahahah. Hongera kwa avatar mpya mimi naifagilia hiyo kwa sana tu na tafadhali usiondoe hata kama watu watakwazika lakini ujiandae kwa miPM kibao kuanza kumiminika kwa wingi maana warembo watafall in love na Avatar yako....LOL! Vituko vya JF

na nimesafisha pm
ipo nyeupee
ili kuzisubiri hizo meseji za warembo.
ha haha lol
 
life is good.

na mungu ni mwema....

vituko humu vinaongezeka....kila siku....

It is true life is good BOSS na kila siku namshukuru Muumba wetu kwa neema zake kubwa kubwa na ndogo ndogo pia.
 
kabisa mkuu...
we are nothing,without mungu...

Naam Mkuu hilo halina ubishi kabisa hivyo kila siku inabidi kumshukuru mara nyingi tu hasa ukitilia maanani matatizo mbali mbali katika dunia yetu.
 
ha ha ha ha
niwaombe radhi kina dada kwa
kuwaweka majaribuni....ha ha ha..
i wish ningekuwa na sura na shepu hiyo ya kujaza pm yangu
kwa kweli....
although my gf thinks i am more than denzel........lol

jamani the boss na wewe kwa vituko yaani hujambo lol.:rolleyes::rolleyes:
j-pili njema.
 
ile ilikuwa ni best Avator humu mjengoni, anyway kuna uwezekano kweli wa kuibandika hapa katika ukubwa wa picha size ili iwe kumbukumbu yangu/yetu
 
The Boss
user_offline.gif

The Boss IS SMILING DEVISHLY
JF Senior Expert Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Tue Aug 2009
Location: DARESALAAM
Posts: 2,014
Thanks: 1,802
Thanked 725 Times in 418 Posts
Rep Power: 25
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif



icon1.gif
Re: zawadi yangu ya jumapili kwenu
Mimi hiyo avatar yako tu huwa napata dhambi nikiiona.
__________________
MUNGU NI MWEMA.

haya nimeitoa sasa nadhani hutapata dhambi tena,kama kipicha tu kinakutia dhambini sijui inakuwaje ukikutana nao wa ukweli huko mitaa!maana wee ulikuwa mmoja wa wanaolalamika sana na ndio maana pia nimeomba radhi hope umenisamehe na kutubu dhambi nilizokuwa nakusababishia!
ubarikiwe sana!
 


sasa huu mkono ni wa nani tena? naona kuna sign hapo kwenye kidole, vipi ya uchumba au ya ndoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom